Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

Mkuu kapicha ka kunogesha thread 😊😊😊
 
Unajichanganya na kauli zako. Hivi unajua hao wachaga unaowasifia wamepunguza WIZI baada ya kuchanganya damu za makabila mengine. Vinginevyo hii nchi isingengekalika.
Unakumbuka miaka ya 1990 kurudi nyuma jinsi nyumba za watu zilivyovunjwa , unakumbuka magari yalivyoibiwa yaani ukipaki tu dakika 5 wamechukuwa au unaamka asubuhi unakuta gari halipo. Unafikiri ni kina nani kama sio kina MEKU
 
Wachaga wako vizuri kimaendeleo na kutafuta pesa kwao hakuna nyumba ya tembe wala udongo mtu akiolewa na kijana wa kiume wa kichaga ana uhakika wa kutoka kimaisha hata kama huyo kijana ni msukuma mkokoteni na mtu kabila ingine akifanikiwa kutomgoza msichana wa kichaga hata kama hana kipato sababu maisha yamempiga cha msingi amsikilize tu akisema naomba elfu 10 nifanye biashara asimhoji ipi amwamini kuwa akimpa watatajirika tu

Ukitaka utajiri mkubwa olewa na mchaga au oa mchaga ila ukioa uwe mkimya usihoji sana akisema niitafutie milioni popote nifanye biashara mpe usihangaike kuhoji
Hawana tabia ya kutapeli wanaume wao waliowaoa kwa ndoa

Hakikisha ukimpata funga naye ndoa ku enjoy wengi sio malaya na huchukulia ndoa kama kitu.kizito sana na kuwa mwanaume na nduguze wamemheshimu mno.Mwanamke wa kichaga akiolewa kwa ndoa sio rahisi kuachika ni chuma cha pua kwenye ndoa wana shukrani kuliko kabil6yeyote hukumbuka ulikomtoa kumwingiza kwenye ndoa kanisani hawasahau wema.Ndio maana sio Rahisi mwanamke wa kichaga kukuta katelelekeza mume.Akitelekeza ujue huyo mwanaume kashindikana na hakuna Mwanamke aweza ishi naye hata aoe mara mia
 
[emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…