Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

Sio mwili mkavu tyuu, kuna vitu zaidi ya hivyo.

Simba wanajuaga kuniletea 🥰, walivyo mtoa Kanoute, nliumia mno, mara paap Yusuf huyuu, woiiiih
😂😂😂😂😂
Unazidi kuzitaja sifa zangu yani Mimi ukiniona Kagoma mtupu ukinsogelea karibu Kanoute huyu hpa mulemule
 
 

Kelele si hizi mnapiga nyie kwa uchungu

Mmetamba na medali zenu wee, sasa sisi tunasema Medali bila Kombe ni sawa sawa na kuvaa Shanga
 
1. Mimi ningewashukuru wachezaji.

2.Namshukuru Muwekezaji.

3.Nawashukuru Benchi la Ufundi, ma kocha, ma daktari,

4.Naishukuru Body ya wakurugenzi.

5. Mwenyekiti na CEO.

6. wabachama wote.

7. Mashabiki.

8. Selikali na wizara.

Samia Simshukuru.
 
Fabrice Ngoma anasema kichaka kimefyekwa fyeeeeeeeeeeeeee
 
Habari za Yanga zimeingiaje hapa ndugu? Busara ilikuwa kusoma na kupita kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…