G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,786
- 4,167
Namimi naomba wajamen daah😓Zaidi ya papuchii. Ashindwe yeyee.
Namimi naomba wajamen daah😓Zaidi ya papuchii. Ashindwe yeyee.
Unaomba nn?Namimi naomba wajamen daah😓
😁mara paaap tunaishia kuvaa shangaKelele si hizi mnapiga nyie kwa uchungu
Mmetamba na medali zenu wee, sasa sisi tunasema Medali bila Kombe ni sawa sawa na kuvaa Shanga
Freshi shanga zao na shanga za Simba zitakua shangazi😁mara paaap tunaishia kuvaa shanga
Nipe number yako, nikutumieMwenye No ya Yusuf Kagoma, naomba anipe, ana vitu vyangu kabisaa, yule mkaka.
🔥🔥🔥🔥
Tuma PM no ake.Nipe number yako, nikutumie
Mkuu upo serious kiasi icho na comments za huu uzi.Wanawake kwa kupenda vilivyoiva hamuwezekani.
Hivi kuna mtaa hakuna watu wenye wajihi wa Yusuph kagoma?
Tena mimi nishakutana na watu kama huyo Kagoma zaidi ya wanne kinachokusumbueni Wanawake ni Tamaa tu hakuna kingine umeshaupigia mahesabu mshahara wake basi mate yanakudondoka.
Tuliza kijambio hicho nenda pale ferry kivukoni kuna wale wapara Samaki chukua mmoja mtengeneze wewe unavyotaka kuna wauza miwa kibao wako kama Kagoma.
Mtani umenichekesha hapo mwishoni....sio kwa ghubu Hilo.1. Mimi ningewashukuru wachezaji.
2.Namshukuru Muwekezaji.
3.Nawashukuru Benchi la Ufundi, ma kocha, ma daktari,
4.Naishukuru Body ya wakurugenzi.
5. Mwenyekiti na CEO.
6. wabachama wote.
7. Mashabiki.
8. Selikali na wizara.
Samia Simshukuru.
Hajielewi.Mkuu upo serious kiasi icho na comments za huu uzi.
Nisamehe sana Semaji la Coca!Mkuu upo serious kiasi icho na comments za huu uzi.
watu wa kigoma ndio tulivyoKagoma, Mtutsi piua (mtusi pure)
Stress hizi zinamsumbuaMkuu upo serious kiasi icho na comments za huu uzi.
Shomari Kapombe, Fabrice NgomaMungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba tu bali za Tanzania kama nchi.
1. Fadlu Davids
2. Elie Mpanzu
3. Jean Ahoua
4. Pinpin Camara
5. Kibu Denis Kibu Denga
6. Yusufu Kagoma
7. Hamza Spear Jr
#Simba Nguvu Moja
Umeanza😀😀😀😀Mwenye No ya Yusuf Kagoma, naomba anipe, ana vitu vyangu kabisaa, yule mkaka.
🔥🔥🔥🔥
Mangungu na Try Again ni mpaka team ifanye vibaya, wao wapo upande wa kulaumiwa tu siyo kupongezwa.Mangungo
Uchawi huoMangungu na Try Again ni mpaka team ifanye vibaya, wao wapo upande wa kulaumiwa tu siyo kupongezwa.