cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Sio Muha tena? Ila kweli yule hata appearance yake inaonesha ni huko kwa Kimbau mbau.Kagoma, Mtutsi piua (mtusi pure)
Sio Muha tena? Ila kweli yule hata appearance yake inaonesha ni huko kwa Kimbau mbau.Kagoma, Mtutsi piua (mtusi pure)
Kujifariji ni muhimu🤣Habari za Yanga zimeingiaje hapa ndugu? Busara ilikuwa kusoma na kupita kimyakimya.
Sina mashaka kwamba huna Akili!Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba tu bali za Tanzania kama nchi.
1. Fadlu Davids
2. Elie Mpanzu
3. Jean Ahoua
4. Pinpin Camara
5. Kibu Denis Kibu Denga
6. Yusufu Kagoma
7. Hamza Spear Jr
#Simba Nguvu Moja
Yeah am crazy, una bahati mbaya hii kitu ukechelewa sana kujuaSina mashaka kwamba huna Akili!
Wewe ni Msengenyaji.Yeah am crazy, una bahati mbaya hii kitu ukechelewa sana kujua
Nitashangaa sana Fadlu akivuruga hiyo Duo pale nyuma.Backline ibaki hivyo hivyo Chamou& Hamza. First eleven maana yake ni viwango na sio watu.
Na hamza pia,,mzee wa kazi chafu. Big up simba...Mwenye No ya Yusuf Kagoma, naomba anipe, ana vitu vyangu kabisaa, yule mkaka.
🔥🔥🔥🔥
Yaan namuhusudu yule mkaka hatarii.
Hamza hapana, hanivutii mie na ma bishoo tofauti kabisaaNa hamza pia,,mzee wa kazi chafu. Big up simba...
InshaallahTunaleta kombe msimbazi
Ubaya ubwela
Eeh, mi nilijua kimpira kumbe we anakuvutia kimwili......aya sawa bibie..... Tumekusikia tutamuambia mwenyewe mimi namba zao ninazo.Hamza hapana, hanivutii mie na ma bishoo tofauti kabisaa
Em nipe ya huyo Yusuf bas, 😂😂😂😂😂Eeh, mi nilijua kimpira kumbe we anakuvutia kimwili......aya sawa bibie..... Tumekusikia tutamuambia mwenyewe mimi namba zao ninazo.
Nilikuwa sijashtukia umenisanuaMagoma anaviziwa ashushwe kiwango😀😀
Hongera take mdharau k *****Yaan namuhusudu yule mkaka hatarii.
😂😂😂😂😂Hongera take mdharau k *****
Guvu moya!!Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba tu bali za Tanzania kama nchi.
1. Fadlu Davids
2. Elie Mpanzu
3. Jean Ahoua
4. Pinpin Camara
5. Kibu Denis Kibu Denga
6. Yusufu Kagoma
7. Hamza Spear Jr
#Simba Nguvu Moja
Hili ni jukwaa la michezo. Na wewe kama hufurahishwa na habari za Yanga, ungepita tu kimya kimya.Habari za Yanga zimeingiaje hapa ndugu? Busara ilikuwa kusoma na kupita kimyakimya.
Hakuna jipya hapo. Yanga ameshaifikia hiyo hatua.Fabrice Ngoma anasema kichaka kimefyekwa fyeeeeeeeeeeeeee