Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

Sina mashaka kwamba huna Akili!
Wewe ndo uliiombea Dua mbaya Simba itolewe kisa Chadema wewe huyo huyo unaipongeza Simba leo wewe ni Msen gekewa.
 
Eeh, mi nilijua kimpira kumbe we anakuvutia kimwili......aya sawa bibie..... Tumekusikia tutamuambia mwenyewe mimi namba zao ninazo.
Em nipe ya huyo Yusuf bas, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Guvu moya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…