Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

Kile Kichaka Cha Uto Wanachojificha Kimefyekwa

Simba
N
G
U
V
U
MOJA
 
Mkuu upo serious kiasi icho na comments za huu uzi.
 
1. Mimi ningewashukuru wachezaji.

2.Namshukuru Muwekezaji.

3.Nawashukuru Benchi la Ufundi, ma kocha, ma daktari,

4.Naishukuru Body ya wakurugenzi.

5. Mwenyekiti na CEO.

6. wabachama wote.

7. Mashabiki.

8. Selikali na wizara.

Samia Simshukuru.
Mtani umenichekesha hapo mwishoni....sio kwa ghubu Hilo.
 
Uzuri mtapiga kelele Sana lakini mwisho wa msimu mnatoka kapa.
Mtalikumbuka shuka kumekucha.
 
Shomari Kapombe, Fabrice Ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…