Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura!
Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa, kunyanyaswa, kudhulumiwa na mengi tu mabaya ya hovyo hutufika sisi ikiwapo kunyanganywa haki zetu wakati mwingine wazi wazi bila kufanya lolote huku wenye fedha wakijinasibu kutokufanywa lolote, vilio mmeviona vilio mmevisikia, mwacheni makonda aziguse zile sehemu ambazo viongozi wengine wameshindwa kuzifikia.
ASANTE BABA MAKONDA.