Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Najaribu kuueleza umma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapana kwa kweli
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Ukiona hivyo elewa kuwa haumpi haki yake ya nyumbani inavyostahiki.

Jipime.
 
Utazoea tu
 
Ukiona hivyo elewa kuwa haumpi haki yake ya nyumbani inavyostahiki.

Jipime.
Kabisa bibi wanaume hawatekelezi majukumu yao ipasavyo halafu wanakimbilia kutoa lawama.!!
Jando lirudishwe
 
Back
Top Bottom