Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Namuona mkeo kuwa ni mtu mwenye malezi bora zaidi yako. Ufanye upumbavu wako ukiulizwa wasema mbona ni kitu kidogo tu ilichofanya! Kaa na mkeo vizuri atakufundisha ipasavyo na utakuwa mtu bora sana

Hakuna kosa dogo.
 
Mzima wa afya ..

Wifi yako mrembo yuko salama,Tuweke shida zetu huku mtucheke?...tunagombana vyumbani na kumaliza huku huku 😅
Comment yako imenibariki nilijua wanaume wenye vifua na wenye tabia za kiumeni waliisha, kumbe bado mpo.!!
Vizuri sana tunza siri za ndani mwako usije kuonekana wa hovyo.!

Mpe hi wifi, mwambie kwa Patel hakujatoka phaller..!
 
Unampoteza Elon musk wa baadae utajutia.!!
Maba ukitoa mambo yake mengine ila ni mtu mwenye version mi namkubali sana.!!
Kapotea sana itakuwa anazichanga
😂😂😂😂😂😂😂😂
We mkubali tu
 
Comment yako imenibariki nilijua wanaume wenye vifua na wenye tabia za kiumeni waliisha, kumbe bado mpo.!!
Vizuri sana tunza siri za ndani mwako usije kuonekana wa hovyo.!

Mpe hi wifi, mwambie kwa Patel hakujatoka phaller..!
Amen Ameeeeeen!Have a good one
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
We mkubali tu
Namkubali ubongo wake uko vizuri kuna point anazimwagaga humu yuko vizuri.!!
Kuna nyuzi zake nzuri sana ukiacha zile za ujinga ujinga.!!
Wifi mi nakushauri tulia kwa maba ana kitu.
 
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Hio microscope maleria inapima ?kama ujaitumia sana niuzie
 
Namkubali ubongo wake uko vizuri kuna point anazimwagaga humu yuko vizuri.!!
Kuna nyuzi zake nzuri sana ukiacha zile za ujinga ujinga.!!
Wifi mi nakushauri tulia kwa maba ana kitu.
😂😂😂😂Yule hakuwai kua bwana angu ni mdogo angu kabisa.
Hata mtu wangu alivoona haya alishangaa sana.
Cz kuna siku alikua akipiga simu nilikua nae na alikua akisikia dogo akiwa anawadis watu.

We mkubali tu kwa kweli me sitaki habari zake kwa kweli angalau ningekua namjua anafananiaje.
Ningeweza kukwambia kama ana akiri au laah.
 
😹😹😹 Ila umekana kwa nguvu.!!
Nwei niliipenda kapu yenu.!!
 
Back
Top Bottom