Kwa hiyo nayo ni ishu ya maana? CHILDISH KABISAKibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Wao wapo kwa sababu yake...yeye tu sio wao
Sababu hiyo ni ipi? Ya kuwatumia kama daraja?wao wapo "kwa sababu yake"...
Kwa hiyo nayo ni ishu ya maana? CHILDISH KABISA
Wee acha ujinga! Jukumu la kuwapa maji mahabusu ni la askari magerezaKibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo
MBOWE HAWAPENDI MAANA NDIYO WALIYOMTAJA NA SIRI ZOTE WAMEANIKA HAO WALINZI WAKE BAADA YA KUWATELEKEZA MIAKA TANGU WAKAMATWEKibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo
Sio suala dogo.
Moja ya chanzo ya kupasuka kwa chama ukiacha Magufuli crack down ni hili la malalamiko ya rank and file class of the party of being grossly neglected.
Makada wa chama wamejaa kwenye majela across the country hawana msaada, Mbowe ana mawakili 20, anaeongea mahakamanin mmoja!
Kwa nini msiwaambie hao mawakili wengine nendeni Mwandiga Kigoma huko tuna ma kesi pia. Why not ?
Kumbe ni kweli mtu ukiwa CCM Kichwa kunajaa makamasi tuKibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Wewe Leo ndio umeona hawapewi maji?!!..Umejiuliza hao mawakili nao wanalipwa na Nani?Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo
Nyinyi jukumu lenu ni lipi? Kama ni askari magereza mbona hajaandamana kudai haki hiyo nyie wapenda haki? Mbona mawakili wasomi hawajatoka na kususia kesi kama walivyofanya mlipozuiwa kuingia mahakamani? ACHENI UNAFIKI MUNGU ANAWAONA.Wee acha ujinga! Jukumu la kuwapa maji mahabusu ni la askari magereza
Miaka mingapi?...MBOWE HAWAPENDI MAANA NDIYO WALIYOMTAJA NA SIRI ZOTE WAMEANIKA HAO WALINZI WAKE BAADA YA KUWATELEKEZA MIAKA TANGU WAKAMATWE