Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

Umesikia jaji anasemaje kuhusu case hii kupelekwa mbio/haraka?!!...Unajua chama kina wanasheria/mawakili kila wilaya na mkoa?!!..Au unachofikiria wewe ndio hicho hicho!!!..
 
Wacha uongo, haongei mmoja mahakamani, huwa wanapokezana kwenye cross examination kuwauliza maswali upande wa mashtaka.
 
Mods trash this rubbish Asap.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Huzuni Sana.....kuona wengine hawatendewi ubinadamu licha ya kuwa sehemu ya watuhumiwa. Hongera kwake Mh. Jaji kwa kuliona na kuwa na utu.
 
Kuna tofauti kubwa ya kiongozi na raia wa kawaida wakiwa kwenye kesi, mahabusu au magerezani. Look watu walio na uwezo wakiwa kwenye kesi.. je wanapata the same treatment kama wale wasio nao?

Ni mfumo uliopo kwenye jamii yetu. Mtu mwenye status kubwa kwenye jamii hawi treated the same kama wasio na kitu.

Isitoshe maji ? Sijui ulinzi? Ni very minor things. So minor.
 
Kwani mwenye jukumu la kumpa maji mtuhumiwa huwa ni nani?
 
Ni jukumu la nani kuhudumia mahabusu?
Mungu hajawai kuumba mahabusu kaumba watu na watu ni utu. Haiwezekani mjazane mahakamani na mnashindwa kumpa binadamu mwenzenu maji halafu mnanuna mafulana ya KATIBA MPYA. Maji kwani ni shs ngapi mkuu? ni shs ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…