Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

Waulize mawakili wenu mnaowaita WASOMI si wanajua kila kitu ISIPOKUWA UTU
Nimekuuliza kutokana na jinsi ulivyosema. Mimi sina upande - ni mtu neutral - isipokuwa tu ni mdau wa sheria.
 
Maji ni minor!? so minor!? Kweli?!
 
Nimekuuliza kutokana na jinsi ulivyosema. Mimi sina upande - ni mtu neutral - isipokuwa tu ni mdau wa sheria.
Kwa utu wangu- nadhani nasimama na Jaji- hawa watu kwa maelezo ya CHADEMA ni walinzi wa Mbowe- kwa nini yeye awe na maji na wao wasiwe nayo? utu uko wapi? Jaji muungwana yule kaona shida hiyo- WANACHAMA KIBAO WA CHADEMA WAMEJAZANA HUMO MAHAKAMANI- VIPOFU HAWAONI HILO
 
Huko mtaani ww wazumgumzie, acha wengine wamzungumzie Mbowe.
 
Yeye jaji hana utu, mbona hajawapa yeye maji?
 
Mhu! Kwani utu ni kwa Chadema tu au kwa mtu yeyote aliyeona kuwa hawana au hawapewi maji?
 
tusiseme tu wao hawana maji! pengine hawakuhitaji na hawakuwa na kiu! tunayafahamu hya?
 
Yeye jaji hana utu, mbona hajawapa yeye maji?
Mje mseme JajiCCM acha basi. Kigai kawapa mahabusu ndizi choma na nyama na MO power Kibatala anatoa macho- jibebeni wenyewe. Ila walau Jaji kaona na kasema inatosha.
 
We ni mpuuzi sana na kilaza, sasa kama mbowe anapewa maji na watoto wake asipokee.

Kilaza mkubwa
 
ndiyo ujuwe watu wa chadema ni watu wa aina gani wachoyo hawapendani wanaabudu mwenyekiti tu
 
Mhu! Kwani utu ni kwa Chadema tu au kwa mtu yeyote aliyeona kuwa hawana au hawapewi maji?
Nyinyi ndio mko msitari wa mbele kujionyesha mna UTU kumbu WANAFIKI tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…