Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

Hivi kwa nini Kibatala hamuagizi DPP afute kesi? Lazima ana faidika binafsi kesi inavyo chelewa kukamilishwa. Kwa nini anamtetea mtejq wake badala ya kumshauri akiri kosa baada ya ushahidi mzito uliotolewa mpaka sasa?

Amandla...
 
Huo utamaduni unaenda way back. Na mbaya unaanza kwenye jamii. Unataka wabadilike? Hii kitu lazima ianzie kwenye jamii.. then serikal yenyewe. Otherwise watu wataona kawaida tu
Ka upinzani mumezingua hyo issue bana, watanzania hatuna huo uchoyo wa kunyima wengine maji, jaji alikuwa sahihi
 
Umeonesha uwezo wako halisi hapa.
 
na unaweza kukuta mbowe akatoka na wao wakazama ndani milele na hakuna mtu atahangaika nao jiulize kabla ya kukamatwa mbowe nani alikuwa anajuwa kuna walinzi wa mbowe wako ndani?
Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu.
 
Lakini atawaduwaza Sana Kwenye Verdict..Mtasema Huyu ni yeye kweli?? Maana wapo watu anakumaliza huku anacheka na wewe.
Hiyo njama imeshagundulika. Proceedings zinaombwa kila baada ya kusikilizwa kesi.
 
Hivi kwa nini Kibatala hamuagizi DPP afute kesi? Lazima ana faidika binafsi kesi inavyo chelewa kukamilishwa. Kwa nini anamtetea mtejq wake badala ya kumshauri akiri kosa baada ya ushahidi mzito uliotolewa mpaka sasa?

Amandla...
Nenda polisi ukakiri kwamba umebaka !!
 
Na ww huoni kua serikali ijichunguze kwa kuweka watu wa chadema ndani km kuna uonevu watolewe maana ni kujaza magereza bila maana
Umenijibu kama kwamba mimi ni serikali.

Mimi siitetei serikali, far from it, napinga dhulma za mahakama na utawala wa CCM. Lakini pia nashauri CHADEMA iache kudharau kesi na hali za makada mikoani.

Wakiitisha pressers zao Kinondoni watupe basi na maendeleo ya kesi za makada languishing in squalid detentions across the country, na waseme wanawasaidia vipi. Isiwe Mbowe, Mbowe, Mbowe peke yake.

Jaji wa mahakama za CCM anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kuwakumbusha CHADEMA kwamba tusimpe maji Mbowe, Mbowe, Mbowe peke yake…
 
Chadema ndo wanahusika na ulaji wa watuhumiwa /mahabusu? Au ni serikali? Alisema hivo kwani hata huduma ya chkula walikua hawapati wawapo mahakamani hivo hajaubua chadema bali aliiumbua serikali.
 
Kweli we ndio mjinga sasa kwani mbowe anapewa na askari magereza

Asante Jaji Siyami- sasa watuhumiwa/ walinzi wa Mbowe wanapata maji halafu mala watu wanasema hawakuwa na kiu-usiwe na kiu DSM na joto lake lote hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…