Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Mmoja muite ccm,mwingne muite ukawa. Au mmoja muite magufuli mwingne muite majaliwa.
 
Scania na Volvo
Zhotong na yutong
Uda na dart
Diamond na wema
Mapanga shaah na jetstream
Bombardier na fastjet

Frankylin na flaviana
 
MSAGA SUMU ni hatari sana...wasiokujua ndo watakaokushangaa....Juzi juzi ulitaka kwenda Iceland kuoa ili ulipwe na Gvt halafu leo in less than 3 months una pacha😀😀😀😀😀
 
Kweli jf raha sana. Watoto wenyewe mbona wadhungu? Huyo mkeo mwenyewe karidhia waitwe majina ya wana jf, mweeeee
 
Back
Top Bottom