Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

MSAGA SUMU ni hatari sana...wasiokujua ndo watakaokushangaa....Juzi juzi ulitaka kwenda Iceland kuoa ili ulipwe na Gvt halafu leo in less than 3 months una pacha😀😀😀😀😀
Haaha haah huu mpango wa Iceland hata wife alikubali ili kumaximize income ya familia
 
D
Kwanza HONGERA Sana mkuu. Na mtakia mama afya njema kabisa.watoto wazuri kweli .

Sasa Duduwasha danhhhhhh
Naelewa mi na wewe ni dam dam 🙄 lakini hilo jina kwamalaika hawa labda hapana 😛
duduwasha hapana kwa kweli
 
msaga sumu hongera ila una chuki ya kufa MTU mpaka ukaona umtaje lowasa huku? na still unataka mwanao jina lake lianze na L????? seriously?? y'r lucky

anyway msichana muite kuwait mvulana muite sijaribiwi.
Hha haa hamna bhana Lowassa mzee wangu sana haahaa aahh
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Ndo umekuja kuandika huku?unafikiri sifa watoto wanane sasa hawa,ukiamviwa tufunge hutaki[emoji12] [emoji23] [emoji23] jus jokin congrats best.. I I have six
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Alice na alick
 
Km ni wa Islam waite yaseer na yazeed kama ni christian waite precious na graceous
 
Kama yatokanayo na humu jf, waite Nyani Ngabu na Miss Natafuta ama Miss Chagga.
 
Hongera sana, ni Baraka kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu

sabri and sabra
fadhil and fadhila
kulwa and doto
paul and paulina
 
Back
Top Bottom