MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #201
Ruttashobolwa maoni yako mkuummmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruttashobolwa maoni yako mkuummmmmh
Na yeye ni member humu,ameridhia kabsaKweli jf raha sana. Watoto wenyewe mbona wadhungu? Huyo mkeo mwenyewe karidhia waitwe majina ya wana jf, mweeeee
Haaha haah huu mpango wa Iceland hata wife alikubali ili kumaximize income ya familiaMSAGA SUMU ni hatari sana...wasiokujua ndo watakaokushangaa....Juzi juzi ulitaka kwenda Iceland kuoa ili ulipwe na Gvt halafu leo in less than 3 months una pacha😀😀😀😀😀
duduwasha hapana kwa kweliKwanza HONGERA Sana mkuu. Na mtakia mama afya njema kabisa.watoto wazuri kweli .
Sasa Duduwasha danhhhhhh
Naelewa mi na wewe ni dam dam 🙄 lakini hilo jina kwamalaika hawa labda hapana 😛
Hha haa hamna bhana Lowassa mzee wangu sana haahaa aahhmsaga sumu hongera ila una chuki ya kufa MTU mpaka ukaona umtaje lowasa huku? na still unataka mwanao jina lake lianze na L????? seriously?? y'r lucky
anyway msichana muite kuwait mvulana muite sijaribiwi.
Ndo umekuja kuandika huku?unafikiri sifa watoto wanane sasa hawa,ukiamviwa tufunge hutaki[emoji12] [emoji23] [emoji23] jus jokin congrats best.. I I have sixNIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Alice na alickNIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hahahaaaaaa.......yani wewe umenichekesha...lol.....Le mutuz na mange kimambi
Wow thanks mama watoto, naandika hati miliki kabisamama watoto!