Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Aupo Sirious Mkuu Ila Nimekuelewa!! Ok General Galadudu Chukua Jina Hilo.
 
Hongera sana Mkuu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mwenyenzi Mungu awaajalie afya mama yao na wapacha, hah hah hah bila kukusahau ww Baba wa Family.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Khs Majina(IDs) - Msaga Sumu na Miss Chagga!
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] .
 
Aisee usijaribu watakuwa fake to the grave. Watu wengi humu IDs zao ni fake.
Tafuta jina halisi la kiranga , chamilton au jina langu la kwanza kwa mtoto wa kiume .

Make sure ni jina halisi sio hayo ya ufake.
Binafsi nilishafanya uchaguzi mwanangu wa kwanza wa kiume ataitwa Tanganyika. Second boy Julius wakike ntamwachi Mm yao achague
 
Majina karibia yote humu yana gundu yaani ni fake fake tuu.
Utakuta mtu huku anajiita malaika na comment zake ni za kimalaika kweli kweli lkn hapo home akitimba kila mtu anatafuta chocho lake la kujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…