Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss Natafuta na Nyani NgabuNIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Aisee usijaribu watakuwa fake to the grave. Watu wengi humu IDs zao ni fake.
Tafuta jina halisi la kiranga , chamilton au jina langu la kwanza kwa mtoto wa kiume .
Make sure ni jina halisi sio hayo ya ufake.
Binafsi nilishafanya uchaguzi mwanangu wa kwanza wa kiume ataitwa Tanganyika. Second boy Julius wakike ntamwachi Mm yao achague
Luis na Luisa.....Ivan na Ivon...Ivan na Irene ......Joan naa Jonas
Quigley na kuiNIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Me: Luciano, Ludovic & Lorenzoyyt tu hata zikianza na L sio mbaya
kwan ww msaga sumu una asili ya asia!!!!kama ww ni m'bongo halisi hao watoto uwezekano wa kuwa wako haufiki 30% labda mkeo awe waasia!!!!,ikiwezekana anza kupunguza aibu ya baadae kwa kuacha hata majina atoe mkeo mwenyewe!!!NIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Umeniua mbavu.Le mutuz na mange kimambi
hhahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaLe mutuz na mange kimambi