Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Miss Natafuta na Nyani Ngabu
 
Aisee usijaribu watakuwa fake to the grave. Watu wengi humu IDs zao ni fake.
Tafuta jina halisi la kiranga , chamilton au jina langu la kwanza kwa mtoto wa kiume .

Make sure ni jina halisi sio hayo ya ufake.
Binafsi nilishafanya uchaguzi mwanangu wa kwanza wa kiume ataitwa Tanganyika. Second boy Julius wakike ntamwachi Mm yao achague

Daah Tanganyika? Uyo mtoto atakua na laana
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Quigley na kui
 
kwanza pongezi MSAGASUMU,wewe binafsi na mwenzi wako bila shaka atakuwa MSAGACHUPA ,PONGEZI SANA .majina yao angalia jinsia ya hawa watoto iwe wa kiume au wa kike ,kwa heshima ya jukwa la jamii forum kama utapenda kumuita jina la founder wa JF ,M.MELO ,ENDAPO NI WA KIKE ,IARA ,pia HUGO CHAVES LINAFAA pia
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
kwan ww msaga sumu una asili ya asia!!!!kama ww ni m'bongo halisi hao watoto uwezekano wa kuwa wako haufiki 30% labda mkeo awe waasia!!!!,ikiwezekana anza kupunguza aibu ya baadae kwa kuacha hata majina atoe mkeo mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom