Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Kendrick Na kloe
 
Mungu then Mkeo. Mungu kwa sababu wote wako hai na Afya njema. Mkeo kwa sababu kavumilia kukutunzia watoto tumboni bila kuwatoa. Hivyo ungeanza kwanza kumshukuru Mungu, halafu mkeo.
By the way, hongera zenu kupata twin
 
Mungu then Mkeo. Mungu kwa sababu wote wako hai na Afya njema. Mkeo kwa sababu kavumilia kukutunzia watoto tumboni bila kuwatoa. Hivyo ungeanza kwanza kumshukuru Mungu, halafu mkeo.
By the way, hongera zenu kupata twin
nmekuelewa CHAZA nilijisahau kidogo
 
Ndugu majina hayapangwi ovyo ovyo kwa watoto inatakiwa ujue wasifu wa jina kabla ya kumpa mtoto kwani majina yanaweza kumletea athari mwanao au faida . majina mengine yanatumika kama kumbukumbu ya jambo fulani hasa zuri kwani wengi hawapendi kukumbuka mabaya,yapo majina yenye kusifu ibada za Ki Mungu au kishetani,yapo majina ya manabii, watakatifu, maajabu au matukio yaliyowahi kutokea haijalishi mazuri au mabaya ambayo wahusika waliona ni vyema kuwapa majina watoto wao kama sehemu ya kumbukumbu . Angalia jina la asili katika kabila lenu au ukoo wenu kisha wape wanao pia unaweza kutumia majina yaliyopo kwenye Bible au Msaafu kutokana na imani yako ili uwapatie wanao majina mazuri pia kama ni mpagani tafuta majina ambayo unahisi yataendana na imani yako hata majina ya miti shamba unaweza kuwapa tu kama akili yako itakutuma
 

Waki ume namba jina proffessor Ibrahim
 
Hongera ila naona wamekaa kikorea korea,usiwape majina bhana achana na mambo ya majina hayana ishu wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…