Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Hongera sana!, tafuta kwenye Quran/Biblia awape wanao. Bahati kama hiyo hata kwangu ije naihitaji sana, mtu wa kuniletea mapacha namtaka huku. Wangekuwa wanaonekana kwenye paja la uso wote ningewahitaji tuishi pamoja!!...Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…