Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

Mi sikushauri kutafta jina la watoto wako mitandaoni,badala yake kaa chini sali na kuomba kulingana na misingi ya dini yako Hakika Mungu atawaongoza ww na mkeo.

Kuna uhusiano wa karbu sana kati ya JINA NA MAISHA YA MTU.

HIVYO RE-THINK OF THIS
 
Take it easy. Naamini ni utani na kucheka. Don't be too serious amigo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liza na Lizaboni, phuu, Mungu apishe mbali nuksi hiyo!
 
Lizanon na faiza foxy
 
Dah, nakuonea bonge la wivu, hongera!!
 
Wa Kike Cookie na wa Kiume Active watakuwa mods wakiwa wakubwa.
 
Mkuu MSAGA SUMU hongera sana, wa kike muite Careen na wa kiume muite Cleophas au waite Cleopatra na Cleophas.

Hujasema majina ya kikristo au kiislamu so unisamehe kama nitakuwa nimekumislead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…