Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa si watasumbuana na Magu?Huyo wa kiume mpe jina la MKWEPA KODI.
Mkuu hongera. Ila ukishawapatia majina usisahau kupitia pale kwa Mkemia mkuu, barabara ya Barack Obama.
Take it easy. Naamini ni utani na kucheka. Don't be too serious amigo [emoji23][emoji23][emoji23]Mi sikushauri kutafta jina la watoto wako mitandaoni,badala yake kaa chini sali na kuomba kulingana na misingi ya dini yako Hakika Mungu atawaongoza ww na mkeo.
Kuna uhusiano wa karbu sana kati ya JINA NA MAISHA YA MTU.
HIVYO RE-THINK OF THIS
Ha ha ha mafao si yalikua mtaji 😀😀😀😀haa haa hhaa wewe mchokozi,tayari ila yote nililipia mahari
NIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Lizanon na faiza foxyNIKO SERIOUS,TENA SANA.

Mbavu zangu jamaniLe mutuz na mange kimambi
Dah, nakuonea bonge la wivu, hongera!!NIKO SERIOUS,TENA SANA.
Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.
Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)
Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,
Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau
NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr
![]()
Nadhani Hillary wa kike na Donald wa kiume yangewafaa.Hillary Clinton na Trump
Tehe tehe tehe ni wewe avatar yako ilinifanya nifikiri ni mgeni jfIvan na Ivon yako poa.... Hadi namie nimetamani mapacha
Ni mimi 😛Tehe tehe tehe ni wewe avatar yako ilinifanya nifikiri ni mgeni jf