Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa...
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Mwanaume wa dar View attachment 1215561View attachment 1215562
Hujakosea mkuu niko zangu huku standi sina ishu kabisa[emoji23][emoji23]wazo la kistendi stendi hasa baada ya kugawana % za upiga debe.
unafikiri kwanini hujajiuliza endapo dunia isingekuwa na hao unadai wanapigiwa mbija na kushikwa mabega wewe ungetoka wapi?
upo karibu kuanza kutoa jichoHivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,