wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa.
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..