Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.

Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa.

Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
 
Mwanaume wa dar
tapatalk_1555181416417.jpeg
tapatalk_1555442308060.jpeg
 
Mimi mwenyewe huwa nawaza km ww aisee yaani kuwa mwanamke ni kazi sn jmn. Basi ndo mama zetu na dada zetu inabidi tuwatie moyo na tuwalinde pia bila wao ulimwengu haupo
 
Wanaume wa mikoan tufahamiane [emoji119]
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa...
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
 
wazo la kistendi stendi hasa baada ya kugawana % za upiga debe.

unafikiri kwanini hujajiuliza endapo dunia isingekuwa na hao unadai wanapigiwa mbija na kushikwa mabega wewe ungetoka wapi?
Hujakosea mkuu niko zangu huku standi sina ishu kabisa[emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa kweli... Tuwaheshimu sana hawa watu basi tu. Kuzaliwa tu jinsia ile tayari si kitu kidogo.
 
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa...
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
upo karibu kuanza kutoa jicho
 
Homones zingekubadilisha tu nakufanana na jinsi yako, kama sasa ulivyo mwanaume unaongozwa na homones za kiume hivyo huoni tabu kuwa mwanaume, hata hao wanawake wanaongozwa na homones za kike hivyo hujikubali kwa uwanawake wao
 
Wayahudi (jinsia ya kiume) zamani walikuwa na sala waliyokuwa wakisali kila waamkapo asubuhi kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wa kiume.
 
Back
Top Bottom