Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Nyie si mnafurahi mnavyonyenyekewa na wanaume na kutunzwa sasa mm nisingekubali
Kabisa mkuu yaani hata sisi wanawake tunashukuru kuumbwa wanawake maana tunaona kama kuwa wanaume ni kazi kwa kifupi ni kwamba kila jinsia ina masahibu yake
 
Umeona mambo hayo??
 
Maneno yapi mkubwa
Kaka mkubwa hapa kuna tatizo. kaka mkubwa ungeishia kwenye kichwa cha uzi wako bila kuweka hayo maneno,uzi ungekuwa bora sana.

Huu mtazamo wangu tu.
 
yani ungekua mwanamke na mfanano wa avatar iyo Mkuu ungekua baa medi
 
Nyie si mnafurahi mnavyonyenyekewa na wanaume na kutunzwa sasa mm nisingekubali
Hivi kumbe kuna wanaume wanaonyenyekea wanawake?? Ndiyo wanapatikana sehemu gani hao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…