Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Nyie si mnafurahi mnavyonyenyekewa na wanaume na kutunzwa sasa mm nisingekubali
Kabisa mkuu yaani hata sisi wanawake tunashukuru kuumbwa wanawake maana tunaona kama kuwa wanaume ni kazi kwa kifupi ni kwamba kila jinsia ina masahibu yake
 
Umeona mambo hayo??
Daah ukute kuna njemba ingetafuna papuchi yangu na kunikunjakunja halafu inasepa

Duuh kuolewa kumtumikia mwanaume kumfulia kumpikia akutafune kibaya zaidi uchungu wa kuzaa duuh manyonyo yanyonywe yawe kama ndala

Daah kuvuja damu kila mwisho wa mwezi aargh alafu naskia wanapata maumivu

Bora nimezaliwa mwanaume
 
Maneno yapi mkubwa
Kaka mkubwa hapa kuna tatizo. kaka mkubwa ungeishia kwenye kichwa cha uzi wako bila kuweka hayo maneno,uzi ungekuwa bora sana.

Huu mtazamo wangu tu.
 
Nyie si mnafurahi mnavyonyenyekewa na wanaume na kutunzwa sasa mm nisingekubali
Hivi kumbe kuna wanaume wanaonyenyekea wanawake?? Ndiyo wanapatikana sehemu gani hao??
 
Back
Top Bottom