Asante Mungu kwa kutuletea Messi duniani

Thank you Messi I'm so happy tonight
 
Reactions: PNC
Nitaendelea kuwakubali Leo10 and Diego Maradona ndio wachezaji wangu bora kuwahi kutokea....All in All Messi ni zaidi na zaidi...mwenye wivu ajinyonge
 
Huyo bwege anashine na team moja tu eti mchezaji bora!CR7 amecheza ligi 3 kubwa na zote ameshine pimbi toka atue barsa ndio amefika![emoji1787]
Hizi ni chuki binafsi za maksudi tu.
 
Na kana vile haitoshi mungu katushushia haka katoto kama nyongeza...
 
Messi bwege ?
Kama unajua unajua tu...
Hivi unadhani ni ligi gani duniani itakayomshinda kucheza ?mpira si huu huu ? Wachezaji si binadamu hawahawa ? Kama Cr 7 ameweza yeye atashindwa na nini ?
Huyo bwege anashine na team moja tu eti mchezaji bora!CR7 amecheza ligi 3 kubwa na zote ameshine pimbi toka atue barsa ndio amefika![emoji1787]
 
Goli bora la UCL dhidi ya Liverkuku wamembania, ila Mungu anawaona
Yaani nilishangaa sana eti waliweka freekick ya yule mwingine wakaiacha ya Messi dhidi ya Liverpool.
Ila pia goli la Danial zsori ni hatari sana, naona waliona asichukue tuzo mbili
 
Yeah hata mimi nafikiri hivyo....ndio maana wakaona wampe tu zsori....ila sio mbaya.
 
Messi bwege ?
Kama unajua unajua tu...
Hivi unadhani ni ligi gani duniani itakayomshinda kucheza ?mpira si huu huu ? Wachezaji si binadamu hawahawa ? Kama Cr 7 ameweza yeye atashindwa na nini ?

Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!
 
messi!!
 
Spain ndio wana ligi bora zaidi duniani jamani aende wapi ?
 
Waswahili tulishawazoea kamanda...huwa hawakosi vimaneno vya hapa na pale...akitwaa tuzo another player huwezi sikia hizi kelele...kosa atwae Baba yao wa soka ....Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe kamanda..ndio hawa waswahili kazi kulalamika tu utafkiri FIFA ndio waliopigq kura
 
Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!

Ebu niambie ligi/club ipi yenye hadhi na yeye? Ambayo itaweza kumlipa mshahara mkubwa kama anavyolipwa na Barca?

Yani kwa akili yako umtoe Barca umpeleke chelsea, PSG au Bayern si atakuwa mwenda wazimu? Ni sawa na mwanamke anaejiuza
 
Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!
Kwa mawazo yako wewe unataka aende england sasa ni wazi pale cream yake ni man city...sasa niambie akiwa pale au hata liverpool nini kitamshinda ?
Au hata bayern au inter...sana sana hiyo timu itazidi ku shine na kuwa juuu juuu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…