Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliView attachment 1145361
Kwenu wachambuzi mimi ni Nani mpaka nibishe
Walijaribu kukushusha but hukukata tamaa hata mwaka Jana ulistahili wewe ila ukanyimwa
Hizi ni chuki binafsi za maksudi tu.Huyo bwege anashine na team moja tu eti mchezaji bora!CR7 amecheza ligi 3 kubwa na zote ameshine pimbi toka atue barsa ndio amefika![emoji1787]
Huyo bwege anashine na team moja tu eti mchezaji bora!CR7 amecheza ligi 3 kubwa na zote ameshine pimbi toka atue barsa ndio amefika![emoji1787]
Yaani nilishangaa sana eti waliweka freekick ya yule mwingine wakaiacha ya Messi dhidi ya Liverpool.Goli bora la UCL dhidi ya Liverkuku wamembania, ila Mungu anawaona
Yaani nilishangaa sana eti waliweka freekick ya yule mwingine wakaiacha ya Messi dhidi ya Liverpool.
Ila pia goli la Danial zsori ni hatari sana, naona waliona asichukue tuzo mbili
Messi bwege ?
Kama unajua unajua tu...
Hivi unadhani ni ligi gani duniani itakayomshinda kucheza ?mpira si huu huu ? Wachezaji si binadamu hawahawa ? Kama Cr 7 ameweza yeye atashindwa na nini ?
messi!!Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Kabla ya messi tulikuwa na Pele kama mchezaji bora wa muda wote ila messi amekuja kuharibu kila kitu
Ewe mfalme wa soka duniani nakuhusudu sana
Kwa kumuenzi messi nitamtaja mtoto wangu jina la messi amefanya makubwa
Hakuna mchezaji hata mmoja anayeweza kumsogelea messi katika kizazi hiki tulichonacho
Messi hata ukistaafu mpira kesho hakuna ninachokudai
Messi The GOAT
View attachment 1145317View attachment 1145318
Spain ndio wana ligi bora zaidi duniani jamani aende wapi ?Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!
Nashangaa, wanataka atoke timu bora kabisa halafu aende Crystal Palace [emoji23][emoji23]Spain ndio wana ligi bora zaidi duniani jamani aende wapi ?
Spain ndio wana ligi bora zaidi duniani jamani aende wapi ?
Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!
Kwa mawazo yako wewe unataka aende england sasa ni wazi pale cream yake ni man city...sasa niambie akiwa pale au hata liverpool nini kitamshinda ?Kama hakuna ligi inayomshinda kwanini asiende kucheza ligi zingine sasa?Na wewe Bwege tu!
Kama mpira ni huu huu kwanini asipate exposure sehem nyingine!Bwege tu!
Atashindwa na nani kila siku yuko team moja?
Bwege fala sana!