Asante Mungu kwa kutuletea Messi duniani

Asante Mungu kwa kutuletea Messi duniani

Brazil hajabebwa. Ndio game hiyo.. kqan barca hubebwa mara ngapi na watu hawalalamiki? Argentina hawajawahi kubebwa?
Unataka aisaidie Mara ngapi_? Huoni kafika nusu fainali? Pamoja na Brazilian kubebwa jana
 
Huyo bwege anashine na team moja tu eti mchezaji bora!CR7 amecheza ligi 3 kubwa na zote ameshine pimbi toka atue barsa ndio amefika!🤣
 
Good player YES, but a GOAT 🐐? Not at all
Don’t deserve to be mention as BEST of the BEST.

Messi Misery: A History Of Near-Misses With Argentina
July 3, 2019 4:26 AMLionel Messi has a history of heartbreaks suiting up for Argentina in Copa America and the World Cup
Lionel Messi


Lionel Messi railed against refereeing decisionsas Brazil knocked Argentina out of the Copa America, the Barcelona star's rage coming after he suffered yet more international heartbreak.
Messi lost international finals in 2014, 2015 and 2016 but Argentina fell in the last four of this year's tournament, Brazil running out 2-0 winners in Belo Horizonte on Tuesday.
His lack of success for the national team - outside of the Under-20 World Cup in 2005 and striking gold at the Olympic Games three years later - contrasts sharply with his club career, with Messi inspiring Barcelona to 10 LaLiga titles as well as four Champions League crowns.
Messi will likely have another shot at glory as the Copa America is being held again in 2020 - Argentina are co-hosts with Colombia - but how have things gone wrong for him in Albiceleste colours?

World Cup final (2014):

🇦🇷Argentina 0-1 🇩🇪Germany (aet)
2781723-GettyImages-525791494.jpg

When measured against the all-time greats, one thing has always proven to be easy pickings for Messi's detractors – unlike Pele and compatriot Diego Maradona, he has not won a World Cup.
That argument could have been laid to rest in Brazil, where Messi scored four goals to help Alejandro Sabella's side secure a final clash with Germany.
But Messi was below-par at the Maracana and Argentina fell to a 1-0 extra-time loss courtesy of Mario Gotze's goal, with the Barca star having fired a late free-kick off target.
He was named the player of the tournament in the immediate aftermath but showed little interest in the award as a far greater prize had just slipped through his fingers.

Copa America final (2015):
🇦🇷Argentina 0-0 🇨🇱Chile (aet, 1-4 pens)
2781733-GettyImages-479486792.jpg

Messi did not shy away from his spot-kick duties when the 2015 Copa America final went to penalties against hosts Chile.
At the end of a tournament in which Messi scored just once, he stepped up to take Argentina's opening effort, just as he had in the quarter-final win over Colombia.
The result was the same – Messi found the net. However, he was then reduced to the role of spectator.
And what followed was agonising to watch for the forward, as misses from Gonzalo Higuain and Ever Banega preceded Alexis Sanchez's decisive strike.

Copa America final (2016):
🇦🇷 Argentina 0-0 🇨🇱 Chile (aet, 2-4 pens)
2781735-GettyImages-543495978.jpg

The Copa America Centenario proved a far more productive one for Messi, who hit five goals in Argentina's march to yet another final against Chile.
Gerardo Martino's men scored 18 times in the United States, including a 2-1 triumph over Chile on their way to winning Group D.
But when the final rolled around, the goals dried up, with a 0-0 stalemate ensuring more shoot-out drama.
Messi again went first, but this time blazed over the crossbar as Chile defended their title. The crushing blow of the subsequent loss forced him into a decision to retire from the international game, though he later changed his mind.

World Cup last 16 (2018):
🇫🇷France 4-3 🇦🇷Argentina
2781741-GettyImages-987871490.jpg

After a poor qualifying campaign, Messi dragged Argentina to Russia 2018 single-handedly with a stunning hat-trick against Ecuador, but he could not repeat the magic at the tournament.
A superb goal against Nigeria helped Jorge Sampaoli's side squeeze through the group stage, Argentina having opened with a draw against Iceland before losing 3-0 to Croatia.
But despite Messi recording a brace of assists in the first knockout round, France ran out 4-3 winners in Kazan on their way to winning the trophy.
Argentina captain Messi subsequently refused to speak to the media and took nine months out of the international spotlight amid speculation he would not play for his country again.

Copa America semi-final (2019):

🇧🇷Brazil 2-0 🇦🇷Argentina
2781742-GettyImages-1159709090.jpg

Messi did return to play for his country in the build-up to the Copa America, but there was yet more disappointment for the 32-year-old on the international stage.
He struggled to show his best form in Brazil, with a penalty against Paraguay his only goal of the tournament heading into the semi-finals.
Although unplayable at times in Belo Horizonte, Brazil's defence kept a fifth clean sheet in a row as Messi struck the post with a shot and set up Sergio Aguero for a header that hit the crossbar.
Whether Messi, who argued Aguero should have had a penalty at 1-0, is willing to put himself through the hurt again remains to be seen, but the chance to have one last Copa crack - and on home soil - will be tempting.
 
Argentins ndio inafeli ila messi hafeli.
Kajiwekea records nje ya BARCA hzo hapo ambazo Ronaldo hakuwahi weka

Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)

The adidas Golden Ball is given to the outstanding player at the FIFA World Cup. The players who finish second and third are given the Silver Ball and Bronze Ball respectively. [3]
Golden Ball: Lionel Messi
Silver Ball: Thomas Müller
Bronze Ball: Arjen Robben

Licha ya Argentins kufeli lakini messi played his role hajafeli Kajiwekea records binafsi kasepa.
HATA MODRIC HAKUWAHI KUIPA CROATIA KOMBE LOLOTE LAKINI KAJIWEKEA RECORDS BINAFSI YA KUPATA GOLDEN BALL 2018 AMBAYO TOKA MVIZIAJI CR7 ATOTOLEWE HAKUWAHI
Mungu hawezi kuleta mtu ambaye akiwa nje ya barca hana makali, ungekua na akili timamu ungemshukuru Mungu kwa kumleta CR7 kwenye hii dunia maana CR7 tokea akiwa man united, madrid Juve mpaka kwenye timu ya taifa tunaona mafanikio yake!!
 
Je, kuna mtu yeyote hapa anadhani Messi ana bora zaidi kuliko Ronaldo? Kwa maoni yangu, Messi ni bora kuliko Ronaldo. Goal Messi mwenye busara ni bora kumaliza Ronaldo. Ronaldo amecheza zaidi ya michezo 850 na amechagua malengo 602 au huko, lakini Messi amefanya malengo 578 kwa michezo 738 tu. Mechi za Messi 0.79 malengo kwa mchezo ikilinganishwa na malengo 0.7 ya Ronaldo kwa kila mchezo. Messi ana ujuzi bora zaidi na anaweza kuchukua timu nzima wakati Ronaldo anategemea sana upande wake kutoa fursa. Messi ana msaada wa 237 wakati Ronaldo ana 207, ambayo inaonyesha wazi kwamba Messi husaidia zaidi katika michezo machache tu. Akiangalia takwimu hizi peke yake, Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo. Vinginevyo, katika mfululizo wa Pro Evolution Soccer kupakuliwa kutoka APKNite, Messi daima ni mchezaji mpendwa wangu katika timu.
 
Je, kuna mtu yeyote hapa anadhani Messi ana bora zaidi kuliko Ronaldo? Kwa maoni yangu, Messi ni bora kuliko Ronaldo. Goal Messi mwenye busara ni bora kumaliza Ronaldo. Ronaldo amecheza zaidi ya michezo 850 na amechagua malengo 602 au huko, lakini Messi amefanya malengo 578 kwa michezo 738 tu. Mechi za Messi 0.79 malengo kwa mchezo ikilinganishwa na malengo 0.7 ya Ronaldo kwa kila mchezo. Messi ana ujuzi bora zaidi na anaweza kuchukua timu nzima wakati Ronaldo anategemea sana upande wake kutoa fursa. Messi ana msaada wa 237 wakati Ronaldo ana 207, ambayo inaonyesha wazi kwamba Messi husaidia zaidi katika michezo machache tu. Akiangalia takwimu hizi peke yake, Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo. Vinginevyo, katika mfululizo wa Pro Evolution Soccer kupakuliwa kutoka APKNite, Messi daima ni mchezaji mpendwa wangu katika timu.
Duh
 
Ameongea ukweli mtupu.
Ukijumlisha na mechi za taifa Ronaldo kacheza jumla 930s matches while messi 810s hapo messi kazidiwa mechi zaidi ya 100 na ushee na magolii messi 670s Ronaldo 680s jiulize hzo mechi mia na ushee Ronaldo alikuwa akifanya nn?!
Bila kusahau records kubwa aloweka ni kushinda magoli 91 ktk kalenda ya mwaka Ronaldo kashindwa akaishia magoli 60 km sikosei ww bado tu unamwona messi underrated ?!
 
Ushabiki maandazi ameisaidia vipi nchi yake?Bora ungewaweka level Moja na Cr7 na akina zizzou
Hicho ni kigezo dhaifu mnachokimbiliaga mfano tunao mzuri Kwa Mbwana samata yeye ameongoza kwa ufungaji ktk ligi ya Belgium lakini si lazima anachokifanya genk na ulaya ndiyo akifanye taifa stars
Swala la kuisaidia vipi nchi hata wewe waweza kuulizwa umeisaidia vipi nchi yako?
 
tapatalk_1569275719051.jpeg


Congratulations lion Messi

Tunahitaji tuzo moja au mbili kabla haujastaafu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom