Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

Fundi mwenzangu hujambo? Hapo isingekuwa shida Kwa sababu Ile ilikuwa biashara na ulikuwa humjui
 
Ulifanya busara sana mwamba. Jamaa nae alifanya busara maana angekua mwingine angeanza kujitambulisha kwanza mimi namjua fulani ili ajenge trust.

Endelea ivo ivo mwamba, kazi ni kipimo cha uhaminifu.
Namshukuru kwa Hilo mkuu maana siunajua ubaya hausahauliki
 
Aibu ingekuwa yako mjomba, kwenda kwao ungejisikia aibu.
Ndo maana nikasema nashukuru mungu maana ningeonekana Nina roho mbaya mapemaa
 
Hahaha unasema kabisa adi Asante Mungu nimeshinda Ili jaribu auna tofauti na wale wanaombaga Mungu ashuke abariki chai
 
Back
Top Bottom