Asante Mwanza, nikirudi nakuja kuweka makazi

Huo udaga unautaja kwa kukandamiza 😁😁....

Ugali wa muhogo/udaga mtamu sana imenichukua muda kuzoea ugali wa bila muhogo
Maeneo ya misungwi, misasi huko binti wa kisukuma amevaa gauni kashona zile pazia za buku jero anatamka neno udaga amejikaza utafikiri anapigwa daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekumbuka mbali mno Buyogo to Shirima, ndani ndani huko
 
Karibu mwanza ule ugali wa udaga na sato chukuchuku kabisa .
 
🀣 🀣 🀣 kajipaka na mafuta ya pamba
 
Aisee nilimuona mwanamke mmoja si mrefu si mfupi, mweusi, mrembo macho yangu hayajawahi na hayatawahi ona mwanamke mzuri kama yule tena labda nizaliwe upya pale buhongwa,, na shetani alivo na roho mbaya nilikuwa ndani ya basi narudi zangu home. Popote alipo yule bidada ajue anazurura na mimi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Sato hayupo?
 
Hapo ni Malikusema Mlango Mmoja. Wapi Umoja?
 
Mkuu una wageni tumboni?
 
Sahani za bati
 
Chakula cha mufugo ayu binadamu
 
Mwanza kuzuri
Sehemu za bata zipo nyingi na bei nafuu
Kuna bar inaitwa plasma daah wahudumu wa pale ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…