britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa serikali wanaoongezea Mishahara hawafiki hata milioni 1.5 na ili hali Watanzamia wako milioni 60
Nikuunge mkono rais wangu ufanyayo kukuza kilimo na ufugaji maana hicho ndio kinaenda kushusha ughali wa maisha ya Mtanzania na pia kutoa ajira za moja kwa moja kwa karibu 70% ya watanzania Mijini na vijijini......
Nakuomba saanq Mheshimiwa rais kuwa uiagize Tamisemi I ihakikisha shule zoote za sejondari za kata Tanzania zinazofikia 5000 hadi kufikia 2025 ziwe na miradi kati ya hii mitatu
1.Ufugaji wa kuku 12,000 (rotation)
AMA
2.Ufugaji wa samaki 12,000 (rotation)
3. Ufugaji wa Nguruwe Kwa shule za kikristo
Walimu wakuu wa shule wakishiriakiana na mabwana mifugo wa Halmashauri za miji,manispaa na majiji wataamua upi ni mrado viable hapo walipo....
Na pesa za kuanzishia miradi hiyo zitoke katika mifuko ya maendeleo ya vijana ya Halmashauri zile 10% ya Pato la Halmashauri hizo.
Hilo likiwezekana Mheshimiwa Rais litachochea kwa 80% kilimo cha mtama mweupe wa kulishia mifugo hiyo Hydroponic Foddlers na kuliingizia Taifa shs bilioni 78 kila mwezi kwa mauzo ya samaki hao na kuku na mayai hayo....
Ikumbukwe bajeti ya elimu bure ni shs bilioni 28 kila mwezi hivyo miradi hiyo ya shule za kata pamoja na kuwaanda vijana kuja kujitegemea wakimaliza form 4 pia itachangia pato kubwa sana kwa Taifa na pia kuweza kushusha bei ya kilo sa samaki na kuku hadi kuwa kilo moja shs 5000/= tu
Kuku na samaki hao kutoka outlet 4000 Tanzania katika kiwango cha 12,000 per outlet vitaifanya Tanzania kujitosheleza kwa kuku na samaki na hadi kuuza nchi za nje.....huo ndo uchumi husika wa jamii ya watanzania ....wenye kushusha gharama za maisha ya watanzania walio wengi na sio kufurahia Ku panda mshahara wa watanzania Milion moja na nusu tu
Tunaomba ziwekwe hata mbinu za Ugumu wa Maisha kulegezwa
Britanicca