Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

Kum
Kumbe kima cha chini inchi hii ni laki 8!!!! Day!!!
 
Hapa nakuunga mkono. Niliwaza hii muda sema umeniwahi.
Shuleni kuna nguvu kazi ya kutosha.
Wakianzisha miradi hakutakuwa na sababu ya kupeleka hata ruzuku.

Mfano shule iko Singida na ina wanafunzi 400.
Wakilima alizeti ekari 100 kwa mkopo huo watapalilia na kuvuna wao.

Ekari 100= magunia 800 ya alizeti.
800x60000=48,000,000.
Shule inajiendesha.
 
Hawa mbwa watatusumbua sana mtaani bora wasingeongezwa kabisa
Punguza hasira uepuke kuugua vidonda vya tumbo! Unaowaita mbwa ndio hao ukivimbiwa wanakuandikia magnesium tablets ujambe ili upone! Kuwa lugha isiyoudhi utasomeka vizuri TU!
 
Mama hongera sana kwa kuwakumbuka wafanyakazi, bora kidogo kuliko kukosa kabisa. Umeupiga mwingi kwakweli
 
Jamaa ni kiazi kweli😀😀Ko kima cha chini serikalini ni 800,0000/=?Puaa puaaa yuuu🤣
 
Kuanzishwa miradi mashuleni nayo mpaka Rais wa nchi?Basi hakuna haja ya kuwa na viongozi wa ngazi za chini.
Mama kawaputia wafanyakazi tahfifu baada ya kupigika kwa miaka saba
 
Ongezeko feki la mishahara hilo. Kama alishindwa kusimamia punguzo la bei ya kuunganisha umeme aliyo jisifia basi ilo ongezeko ni feki feki feki sasa hivi elimu bure inakufa na bei ya umeme inapandishwa , ukweli ni kwamba wafanyakazi wa serikali asilimia 98 hawana akili ya uchumi hivyo wanadhani kuongezewa mishahara ndiyo maendeleo , kipindi cha jpm elimu ilikuwa bure mfumuko wa bei ulizidi kushuka, hapo ni swala la kutumia akili tu
 
Ilakumbuka mshahara haujawahi mtosha mtu hata huyo Rais ikimuuliza mshahara unamtosha atasema haumtoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…