Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

me swali langu lina baki pale pale vipi secta binas? au ndo hatupigagi kura au
 
Wote hamjui kitu hii nyongeza ni ili kuhalalisha bei mpya za mafuta na bando. Watakao nufafaika ni wachache wengi bado tutaumia
 
Andiko zuri na ni zao la mawazo mtambuka na jumuishi. Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…