Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?

Nadhani jibu unalo hapo uliposema collective responsibility. Kama ccm haitaki yeye nani mpaka atoe maoni tofauti.
 
We'll see about that!

But a moniker for the best brain in the legal fraternity still goes to Justice Mwalusanya.

He had en excellent intellectual posture, and a progressive approach towards the rule of law and human rights, something Prof Kabudi is not, and will never be.

As of 2024, he still is an undisputed champion of Human Rights and Administration of Justice in Tanzania.​
 
Ukoloni una athari kubwa na mbaya sana
 
Rais ana ofisi yake binafsi ya washauri wa sheria inayoongongozwa na PAP-Sheria(Personal Assistance to President-Sheria). Kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mwanasheria Mkuu wa Serikali anawajibika moja kwa moja kwa Rais wa JMT na Nani ya Bunge na sioni mahali popote anawajibika kwa Waziri.
Hawa ndio wasaidizi hasa kwa maswala mahususi kama Katiba, Sheria na Mikataba.Waziri katika wizara zetu, mimi binafsi nawaonaga kama facilitators wa kisekta, kuhakikisha sekta chini yake zinakuwa well funded, well budgeted, well staffed and the staff are well remunerated, uwajibika bungeni kwa niaba ya wizara yake nzima, kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri.
 
Ninaiponda CCM ninaishauri Serikali mara zote na ninatumia Sarcasm kufikisha ujumbe kwa Watawala nitajie ni wapi "nimeiponda" Serikali?!
Kea hiyo nianze kupekua comments zako tangu ulipojiunga!?..iko clear kuhusu upande na mtazamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…