Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?

"Serikali inafanya kazi kwa mtindo wa uwajibikaji wa pamoja, a collective responsibility hata kama jambo fulani haliko sawa lakini waliowengi wanakubaliana nalo, wewe ukiliona haliko sawa na hukubaliani nalo, kanuni ya uwajibikaji wa pamoja inakutaka ukae kimya."

Msisitizo ni wa kwangu!
 
Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zinazo zungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi au kijamii lenye maslahi kwa taifa. Makala hizi huja kwa mtindo wa swali na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi una maslahi makubwa kwa taifa hili lililojaa wanasheria vilaza kuanzia serikalini, Bungeni hadi mahakamani. Kwa vile Prof. Kabudi ni mwalimu wa sheria somo la katiba, kazi yake hapo wizarani sio tuu kutekeleza majukumu ya uwaziri, bali atawafundisha sheria na katiba na Mwanafunzi wake No. 1 ni Maza mwenyewe.

Mada ya leo ni pongezi na shukrani kwa Rais Samia kumteua tena Prof. Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, kuwa waziri wetu wa Sheria.

Kwa maoni yangu binafsi, ulimuondoa Prof. Shivji , Prof. Chris Peter Maina, na Prof. Gamalieli Mgongo Fimbo kwenye unguii wa katiba, anayefuata ni Prof. Kabudi, ila tukija kwenye overall the best of the best, Prof. Palamagamba Kabudi is the best, amewapita wote on several avenues.

Prof Kabudi is one of the best brains this country has and has ever had. The best brain inapimwa kwa IQ test. Sisi Tanzania hatuna amplitude test za kupima IQ za watu wetu, tunatumia matokeo ya mitihani ya kidato cha 4, 6 na GPA za chuo kikuu.

Soma Pia: Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

Japo sijui scores za Prof. Kabudi za form 4 na form 6,
ni division 1 ya points ngapi, ila enzi zile kusoma sheria ilikuwa ni lazima uwe na division 1 kali.

Kwenye nchi za Afrika Mashariki, chuo kikuu cha kwanza kufundisha sheria ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kilichoanzishwa October 1961, siku chache kabla ya uhuru wa Tanganyika na kilichukua wanafunzi kutoka nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya na Uganda.

Na mimi pia nilisomea sheria yangu LL.B chuo kikuu cha Dar es Salaam na kupita mikononi mwa Prof. Palamagamba Kabudi, sio tuu kama mwalimu wangu bali yeye ndiye alikuwa supervisor wangu wa my LL.B dissertation, hivyo ni mtu ninayemfahamu kwa karibu.

Wakati nikiwa mikononi mwake mpaka ninamaliza UDSM kuna vitu sikuvifahamu kumhusu Prof. Kabudi, ila mwaka 2011 wakati chuo kikuu cha Dar es Salaam kinaadhimisha Diamond Jubilee, Prof. Palamagamba Kabudi alitunukiwa tuzo ya outstanding GPA, kwa muda wote wa miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, recoding ya GPA ya Prof. Kabudi, ya 4.9 haukuwahi kuvunjwa mpaka wakati huo, na sikuwahi kusikia kama kuna Mwanafunzi mwingine yeyote amewahi kuifikia, hivyo kuna uwezekano Prof. Kabudi ni one of the best brains of the best that we have!.

Nimesema one of, kwasababu kuna uwezekano tuna best brains kuliko Prof. Kabudi lakini hawakwenda shule hivyo hawajulikani lakini kuna watu wanafanya mambo makubwa kimya kimya, na kuna Watanzania wengi best brains waliosoma au wanaosoma ughaibuni, huwa hawarejei nchini, Wazungu wanawashika and tap their brains for their own gain yaani wanafanya brain drain ya best brains.

Kitu kingine cha ziada kumhusu Prof. Kabudi, ni multi talented, ana kipaji cha usimulizi, oratorio talent, ana kipaji cha kupiga kinanda na ni mcha Mungu aliyelelewa kwenye uchamungu.

Hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Kabudi kuteuliwa Waziri, aliteuliwa na Magufuli kwenye serikali ya awamu ya 5, Rais Samia akamuondoa, sasa ni Samia amemteua tena Wizara ile ile ya sheria.

Mtu kuwa the best brain, high IQ na bingwa wa Katiba ni jambo moja, na uelewa wa katiba, na utekelezaji wa majukumu yake kiweledi ni jambo jingine, swali ni will he deliver this time. Last time alisimamia makinikia, tukaambiwa hakitoki kitu, makinikia yanatoka kama kawa.

Serikali inafanya kazi kwa mtindo wa uwajibikaji wa pamoja, a collective responsibility hata kama jambo fulani haliko sawa lakini waliowengi wanakubaliana nalo, wewe ukiliona haliko sawa na hukubaliani nalo, kanuni ya uwajibikaji wa pamoja inakutaka ukae kimya. Kwa vile yeye ni bingwa wa Katiba, na katiba ndio Biblia yetu na Msahafu wetu, tunamuomba asikubali katiba yetu inajisiwe na vilaza wa sheria wa serikalini, Bungeni na Mahakamani, ili kutunza heshima yake, kuliko kukubaliana na uwajibikaji wa pamoja wa kututungia sheria batili, ni bora akajiweka pembeni kuliko kuunyamazia ubatili huu wa ajabu wa Katiba yetu unaofanywa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu lakini ni vilaza wa katiba!.

Prof. Kabudi ni mwalimu wa somo la katiba pale UDSM, amefundisha mamia ya wanafunzi, kanuni kuu ya katiba inasema Katiba ndio sheria Mama, Sheria nyingine yoyote atakayotenda kinyume cha Katiba ni Sheria batili, Prof. Kabudi asiache huu ubatili wa Katiba yetu na ubatili wa sheria zetu uendelee chini ya nguli wa Katiba. Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama?

Prof. Kabudi ni miongoni mwa wale ma Amicus Curiae (marafiki wa mahakama) watatu wa ile kesi ya Mtikila ambapo Mahakama Kuu ilitoa hukumu kuhusu ubatili wa Katiba yetu kunajisiwa na sheria batili ya uchaguzi inayokwenda kinyume cha Katiba.

Ushauri wao ni Mahakama isiliingilie Bunge kwenye utungaji wa sheria lakini anajua kuwa Bunge letu lilitunga sheria batili, likafanya mabadiliko batili ya katiba, likauchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu kiubatili.

Mahakama Kuu ikaamuru huo ni ubatili, mabadiliko ya katiba ni batili na sheria hiyo pia ni batili, ila kwa heshima ya Bunge, kwa vile ni Bunge ndilo lililofanya ubatili huo, mahakama ya Rufani ikajizima data na kusema "the Court is not the custodians of the will of the people", yaani Mahakama sio mtunzaji wa mahitaji ya jamii, mtunzaji wa mahitaji ya jamii ni Bunge kwasababu ndilo linawawakilisha wananchi.

Mahakama ya Rufaa ikalirudisha jambo hilo la ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria kwa Bunge ndilo lirekebishe. Bunge letu mpaka hivi ninavyo andika hapa, halikuwahi kuurebisha ubatili huo wa katiba na ubatili huo wa sheria, hii ina maana mpaka hii leo Tanzania tuna katiba yenye ubatili na tuna sheria batili!.

Rais Samia alipoingia akaunda kikosi kazi kuhusu katiba, watu tukaitwa kutoa maoni yetu kuhusu mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu.

Mimi ni miongoni mwa tuliotoa maoni na mimi nilipata fursa kuzungumza mara 3.

Kitu cha ajabu sana ni serikali hii ya Rais Samia ikatunga muswada wa sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule ulioshabatilishwa na Mahakama kwa kutumia kifungu kile kile batili cha Katiba kilichochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.

Bunge letu nalo lilivyo Bunge la ajabu, likaipitisha sheria hiyo hivyo hivyo ilivyo pamoja na ubatili wake, na kumpelekea Rais Samia kuisaini kuwa sheria na Rais Samia ameisha isaini sheria hiyo batili ya uchaguzi na tunayokwenda kuifanyia uchaguzi mkuu wa 2025, huku tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa bila uwepo wa sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa!.

Naamini uteuzi huu wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa sheria ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, kumletea Rais Samia watu bold watakao mwambia ukweli kuwa Tanzania imekuwa ikilaaniwa kutokana na dhulma kubwa hii ya kupoka haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa na kipengele batili ndani ya katiba yetu na sheria batili.

Kiukweli pale mwanzo Prof. Kabudi alikuwa anamuogopa sana Rais Magufuli hadi kuteleza ulimi kumuita mungu!, na yeye kujiita ameokotwa Jalalani.

Swali sasa ni je this time around atakuwa mkweli toka ndani ya nafsi yake?. Atamweleza Rais Samia kuhusu ubatili wa Katiba yetu na sheria yetu mpya ya uchaguzi ambayo Rais Samia ameisani hivi majuzi?, au atajizima tena data kama alivyojizima enzi za JPM?

Time will tell.

Mungu Mbariki Prof. Kabudi kusimama kwenye kweli.

Mungu Mbariki Rais Samia kukubali kuambiwa ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria na kuufanyia kazi

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.
Tofautisha Kabudi mwanasiasa na Kabudi wa Theatre za UDSM au seminar rooms
 
Aksante Raisi Samia kumuleta kabudi,Sina maslahi yoyote na kabudi lakini niliumizwa mnooooooo,ulipomtimua Kisha ukaleta akina nape na makamba,niliuchukia mnooooooo utawala wa awanu ya sita,Ila Sasa kwa kumrejesha kabudi,umecheza Kama Pele,bado kalemani,ukimrejesha na huyo hakika utakuwa maradona wa siasa za Africa,pia angalia na nje ya ccm Kuna watu wazuri Sana kwenye maeneo korofi ya kiutawala, fanya maamuzi magumu kabisa,Kama alivyofanya mtangulizi wako alipomuibua kafulila na kabudi,mkapa Naye alimwibua SheIn,please angalia na nje ya ccm,pia wapi watu hujawatumia,pole pole na bashiru ally ,usiwaogope hizo ni hazina za nchi
Umeandika jambo la maana lakini mwisho umeharibu baada ya kuonyesha rangi yako halisi kuwa wewe ni wale sukuma gang members. Japo sina uhakika lakini utakuwa mi mmoja wa wale mliokuwa mnajisifia kuitwa wanyonge.
 
Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zinazo zungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi au kijamii lenye maslahi kwa taifa. Makala hizi huja kwa mtindo wa swali na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi una maslahi makubwa kwa taifa hili lililojaa wanasheria vilaza kuanzia serikalini, Bungeni hadi mahakamani. Kwa vile Prof. Kabudi ni mwalimu wa sheria somo la katiba, kazi yake hapo wizarani sio tuu kutekeleza majukumu ya uwaziri, bali atawafundisha sheria na katiba na Mwanafunzi wake No. 1 ni Maza mwenyewe.

Mada ya leo ni pongezi na shukrani kwa Rais Samia kumteua tena Prof. Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, kuwa waziri wetu wa Sheria.

Kwa maoni yangu binafsi, ulimuondoa Prof. Shivji , Prof. Chris Peter Maina, na Prof. Gamalieli Mgongo Fimbo kwenye unguii wa katiba, anayefuata ni Prof. Kabudi, ila tukija kwenye overall the best of the best, Prof. Palamagamba Kabudi is the best, amewapita wote on several avenues.

Prof Kabudi is one of the best brains this country has and has ever had. The best brain inapimwa kwa IQ test. Sisi Tanzania hatuna amplitude test za kupima IQ za watu wetu, tunatumia matokeo ya mitihani ya kidato cha 4, 6 na GPA za chuo kikuu.

Soma Pia: Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

Japo sijui scores za Prof. Kabudi za form 4 na form 6,
ni division 1 ya points ngapi, ila enzi zile kusoma sheria ilikuwa ni lazima uwe na division 1 kali.

Kwenye nchi za Afrika Mashariki, chuo kikuu cha kwanza kufundisha sheria ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kilichoanzishwa October 1961, siku chache kabla ya uhuru wa Tanganyika na kilichukua wanafunzi kutoka nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya na Uganda.

Na mimi pia nilisomea sheria yangu LL.B chuo kikuu cha Dar es Salaam na kupita mikononi mwa Prof. Palamagamba Kabudi, sio tuu kama mwalimu wangu bali yeye ndiye alikuwa supervisor wangu wa my LL.B dissertation, hivyo ni mtu ninayemfahamu kwa karibu.

Wakati nikiwa mikononi mwake mpaka ninamaliza UDSM kuna vitu sikuvifahamu kumhusu Prof. Kabudi, ila mwaka 2011 wakati chuo kikuu cha Dar es Salaam kinaadhimisha Diamond Jubilee, Prof. Palamagamba Kabudi alitunukiwa tuzo ya outstanding GPA, kwa muda wote wa miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, recoding ya GPA ya Prof. Kabudi, ya 4.9 haukuwahi kuvunjwa mpaka wakati huo, na sikuwahi kusikia kama kuna Mwanafunzi mwingine yeyote amewahi kuifikia, hivyo kuna uwezekano Prof. Kabudi ni one of the best brains of the best that we have!.

Nimesema one of, kwasababu kuna uwezekano tuna best brains kuliko Prof. Kabudi lakini hawakwenda shule hivyo hawajulikani lakini kuna watu wanafanya mambo makubwa kimya kimya, na kuna Watanzania wengi best brains waliosoma au wanaosoma ughaibuni, huwa hawarejei nchini, Wazungu wanawashika and tap their brains for their own gain yaani wanafanya brain drain ya best brains.

Kitu kingine cha ziada kumhusu Prof. Kabudi, ni multi talented, ana kipaji cha usimulizi, oratorio talent, ana kipaji cha kupiga kinanda na ni mcha Mungu aliyelelewa kwenye uchamungu.

Hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Kabudi kuteuliwa Waziri, aliteuliwa na Magufuli kwenye serikali ya awamu ya 5, Rais Samia akamuondoa, sasa ni Samia amemteua tena Wizara ile ile ya sheria.

Mtu kuwa the best brain, high IQ na bingwa wa Katiba ni jambo moja, na uelewa wa katiba, na utekelezaji wa majukumu yake kiweledi ni jambo jingine, swali ni will he deliver this time. Last time alisimamia makinikia, tukaambiwa hakitoki kitu, makinikia yanatoka kama kawa.

Serikali inafanya kazi kwa mtindo wa uwajibikaji wa pamoja, a collective responsibility hata kama jambo fulani haliko sawa lakini waliowengi wanakubaliana nalo, wewe ukiliona haliko sawa na hukubaliani nalo, kanuni ya uwajibikaji wa pamoja inakutaka ukae kimya. Kwa vile yeye ni bingwa wa Katiba, na katiba ndio Biblia yetu na Msahafu wetu, tunamuomba asikubali katiba yetu inajisiwe na vilaza wa sheria wa serikalini, Bungeni na Mahakamani, ili kutunza heshima yake, kuliko kukubaliana na uwajibikaji wa pamoja wa kututungia sheria batili, ni bora akajiweka pembeni kuliko kuunyamazia ubatili huu wa ajabu wa Katiba yetu unaofanywa na wanasheria manguli wabobezi na wabobevu lakini ni vilaza wa katiba!.

Prof. Kabudi ni mwalimu wa somo la katiba pale UDSM, amefundisha mamia ya wanafunzi, kanuni kuu ya katiba inasema Katiba ndio sheria Mama, Sheria nyingine yoyote atakayotenda kinyume cha Katiba ni Sheria batili, Prof. Kabudi asiache huu ubatili wa Katiba yetu na ubatili wa sheria zetu uendelee chini ya nguli wa Katiba. Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama?

Prof. Kabudi ni miongoni mwa wale ma Amicus Curiae (marafiki wa mahakama) watatu wa ile kesi ya Mtikila ambapo Mahakama Kuu ilitoa hukumu kuhusu ubatili wa Katiba yetu kunajisiwa na sheria batili ya uchaguzi inayokwenda kinyume cha Katiba.

Ushauri wao ni Mahakama isiliingilie Bunge kwenye utungaji wa sheria lakini anajua kuwa Bunge letu lilitunga sheria batili, likafanya mabadiliko batili ya katiba, likauchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu kiubatili.

Mahakama Kuu ikaamuru huo ni ubatili, mabadiliko ya katiba ni batili na sheria hiyo pia ni batili, ila kwa heshima ya Bunge, kwa vile ni Bunge ndilo lililofanya ubatili huo, mahakama ya Rufani ikajizima data na kusema "the Court is not the custodians of the will of the people", yaani Mahakama sio mtunzaji wa mahitaji ya jamii, mtunzaji wa mahitaji ya jamii ni Bunge kwasababu ndilo linawawakilisha wananchi.

Mahakama ya Rufaa ikalirudisha jambo hilo la ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria kwa Bunge ndilo lirekebishe. Bunge letu mpaka hivi ninavyo andika hapa, halikuwahi kuurebisha ubatili huo wa katiba na ubatili huo wa sheria, hii ina maana mpaka hii leo Tanzania tuna katiba yenye ubatili na tuna sheria batili!.

Rais Samia alipoingia akaunda kikosi kazi kuhusu katiba, watu tukaitwa kutoa maoni yetu kuhusu mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu.

Mimi ni miongoni mwa tuliotoa maoni na mimi nilipata fursa kuzungumza mara 3.

Kitu cha ajabu sana ni serikali hii ya Rais Samia ikatunga muswada wa sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule ulioshabatilishwa na Mahakama kwa kutumia kifungu kile kile batili cha Katiba kilichochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.

Bunge letu nalo lilivyo Bunge la ajabu, likaipitisha sheria hiyo hivyo hivyo ilivyo pamoja na ubatili wake, na kumpelekea Rais Samia kuisaini kuwa sheria na Rais Samia ameisha isaini sheria hiyo batili ya uchaguzi na tunayokwenda kuifanyia uchaguzi mkuu wa 2025, huku tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa bila uwepo wa sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa!.

Naamini uteuzi huu wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa sheria ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, kumletea Rais Samia watu bold watakao mwambia ukweli kuwa Tanzania imekuwa ikilaaniwa kutokana na dhulma kubwa hii ya kupoka haki za Watanzania za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa na kipengele batili ndani ya katiba yetu na sheria batili.

Kiukweli pale mwanzo Prof. Kabudi alikuwa anamuogopa sana Rais Magufuli hadi kuteleza ulimi kumuita mungu!, na yeye kujiita ameokotwa Jalalani.

Swali sasa ni je this time around atakuwa mkweli toka ndani ya nafsi yake?. Atamweleza Rais Samia kuhusu ubatili wa Katiba yetu na sheria yetu mpya ya uchaguzi ambayo Rais Samia ameisani hivi majuzi?, au atajizima tena data kama alivyojizima enzi za JPM?

Time will tell.

Mungu Mbariki Prof. Kabudi kusimama kwenye kweli.

Mungu Mbariki Rais Samia kukubali kuambiwa ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria na kuufanyia kazi

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.
Kutoka jalalani sasa sijui atasema kaokotwa wapi tena
 
Wanabodi

Swali sasa ni je this time around atakuwa mkweli toka ndani ya nafsi yake?. Atamweleza Rais Samia kuhusu ubatili wa Katiba yetu na sheria yetu mpya ya uchaguzi ambayo Rais Samia ameisani hivi majuzi?, au atajizima tena data kama alivyojizima enzi za JPM?

Time will tell.
Paskali.
Swali hili limeanza kupata majibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwenye mahojiano na mtangazaji Sudi Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga.
Si kweli, nimeisikiliza clip, Prof. Kabudi aliaga!.

Ujio wa social media umefanya kila mtu kuwa a journalist, a reporter wa citizens journalism.

Msingi mkuu wa tasnia ya habari ni "Tell nothing but the truth".
Kwenye mahojiano hayo mtangazaji Sudi Mnete alimuuliza Kabudi kuhusu kitendo cha serikali kuzuia maandamano ya CHADEMA, ripoti mpya iliyotoka ya Human Rights Watch na hali ya siasa ilivyo nchini.
Kabudi alijibu vizuri na kuusemaukweli, hao HRW ni waongo, wazushi na wazandiki.
Kabudi alipoulizwa kuhusu kitendo cha serikali ya Tanzania kufungia The Citizen, Kabudi alidokeza kuwa Mwananchi na The Citizen walifungiwa kwa mujibu wa sheria za nchi na kwamba kama kituo hicho kingekuwa hakijaridhishwa na maamuzi ya TCRA kilikuwa kinaruhusiwa kukata rufaa.
True
ilipofika dakika ya 9 ya mahojiano Kabudi aliomba udhuru kwamba anaingia kwenye kikao kingine ambapo mara baada ya mtangazaji kuanza kumuuliza Waziri huyo kuhusu hali tete ya kisiasa hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Waziri huyo alikataa simu.
Hii pia sii kweli, Waziri alikata simu mara baadaya kumaliza kujibu na aliaga ana kikao kingine.

Kiukweli Prof. Kabudi amejibu vizuri sana, na amemtendea haki Sudi na kuitendea haki DW, kumpata waziri impromptu kwa mahojiano ya dakika 9 is not a joke!.

Viongozi wetu wanaheshimu sana media za kibeberu na kutudharau media za nyumbani. Maombi yangu kumhoji JPM yameozea ikulu hadi anatwaliwa, sikuwahi kupata chance zaidi ya kulazimisha kama pale ikulu.

Ile Samia ameingia tuu, maombi yangu mezani kwake, nae itakua kama JPM!.
Thanks for this.
Hivi ndivyo mawaziri wote wanatakiwa kuwajibu hizi media za kibeberu, msiwaogope BBC, DW, VOA au media zozote za kibeberu.
P
 
Wanabodi

Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi una maslahi makubwa kwa taifa hili lililojaa wanasheria vilaza kuanzia serikalini, Bungeni hadi mahakamani. Kwa vile Prof. Kabudi ni mwalimu wa sheria somo la katiba, kazi yake hapo wizarani sio tuu kutekeleza majukumu ya uwaziri, bali atawafundisha sheria na katiba na Mwanafunzi wake No. 1 ni Maza mwenyewe.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.
Mara News Alert: - Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Kabudi mara ameondolewa!。
P
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia!.
P
 
Back
Top Bottom