Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?

"Serikali inafanya kazi kwa mtindo wa uwajibikaji wa pamoja, a collective responsibility hata kama jambo fulani haliko sawa lakini waliowengi wanakubaliana nalo, wewe ukiliona haliko sawa na hukubaliani nalo, kanuni ya uwajibikaji wa pamoja inakutaka ukae kimya."

Msisitizo ni wa kwangu!
 
Tofautisha Kabudi mwanasiasa na Kabudi wa Theatre za UDSM au seminar rooms
 
Umeandika jambo la maana lakini mwisho umeharibu baada ya kuonyesha rangi yako halisi kuwa wewe ni wale sukuma gang members. Japo sina uhakika lakini utakuwa mi mmoja wa wale mliokuwa mnajisifia kuitwa wanyonge.
 
Kutoka jalalani sasa sijui atasema kaokotwa wapi tena
 
Swali hili limeanza kupata majibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwenye mahojiano na mtangazaji Sudi Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga.
Si kweli, nimeisikiliza clip, Prof. Kabudi aliaga!.

Ujio wa social media umefanya kila mtu kuwa a journalist, a reporter wa citizens journalism.

Msingi mkuu wa tasnia ya habari ni "Tell nothing but the truth".
Kwenye mahojiano hayo mtangazaji Sudi Mnete alimuuliza Kabudi kuhusu kitendo cha serikali kuzuia maandamano ya CHADEMA, ripoti mpya iliyotoka ya Human Rights Watch na hali ya siasa ilivyo nchini.
Kabudi alijibu vizuri na kuusemaukweli, hao HRW ni waongo, wazushi na wazandiki.
True
Hii pia sii kweli, Waziri alikata simu mara baadaya kumaliza kujibu na aliaga ana kikao kingine.

Kiukweli Prof. Kabudi amejibu vizuri sana, na amemtendea haki Sudi na kuitendea haki DW, kumpata waziri impromptu kwa mahojiano ya dakika 9 is not a joke!.

Viongozi wetu wanaheshimu sana media za kibeberu na kutudharau media za nyumbani. Maombi yangu kumhoji JPM yameozea ikulu hadi anatwaliwa, sikuwahi kupata chance zaidi ya kulazimisha kama pale ikulu.

Ile Samia ameingia tuu, maombi yangu mezani kwake, nae itakua kama JPM!.
Thanks for this.
Hivi ndivyo mawaziri wote wanatakiwa kuwajibu hizi media za kibeberu, msiwaogope BBC, DW, VOA au media zozote za kibeberu.
P
 
Mara News Alert: - Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Kabudi mara ameondolewa!。
P
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…