Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

View attachment 1812108

Wanabodi,

Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki"....
Hujui pesa ya ESCROW alichota nani? Je, ulishaona Rais mstaafu hapa Tanzania akipelekwa jela? Sana sana tulimuona Mkapa akitoa ushahidi tu. Abarikiwe JK kwa kuingiza fedha mitaani na kuwaponza akina Seth na Rugemalila
 
Atuombe radhi tumsamehe maisha yaende
 
pasco vipi usharudishiwa zile tender zako za matagzo? maana njaa ilizidi ukaamua uanze kumsifia marehem jiwe
 
Huyu Mayala njaa sijawahi kumuelewa. Huyu ni chairman wa chama cha wanafiki duniani. Katibu sijui atakua nani.
 
Naona ameanza kurudi kwenye ubora wake, Paschal andaa muda ujibu maswali yetu hapa kwanini ulikengeuka kipindi cha dikteta na utuombe radhi sisi ni binadamu tutakusamehe.
Jinga sana hili. Mwanzo nilikuwa mfuasi wa hoja zake lakini alipoingia kwenye team mwendazake nikaona ameanza kutoa hoja zinazofanana na lile shimo la taka mwili nikamdharau. Asituletee unafiki wake hapa. Toka lini huyu akawa upande wa HAKI?
 
Jinga sana hili. Mwanzo nilikuwa mfuasi wa hoja zake lakini alipoingia kwenye team mwendazake nikaona ameanza kutoa hoja zinazofanana na lile shimo la taka mwili nikamdharau. Asituletee unafiki wake hapa. Toka lini huyu akawa upande wa HAKI?
Tumsamehe bure
 
naona pascal hujui unachokiandika. ruge, seth na hao waliohusika- watu wa mahakama pamoja na bot, haki yao ni kukamatwa kama walivyokamatwa ruge na seth hivyo basi serikali ilitenda haki kwa ruge na seth kwa kuwakamata, lakini haijatenda haki kwa hao wengine sababu serikali hijawakamata.

Ishauri serikali itende haki kwa hao wengine, kwa maana ya kuwakamata. Hujui maana na haki, haki ipo pande mbili, kama mtu haki yake ni kinyongwa ukamuacha, basi ujue pia umemnyima/hujatenda haki.
 
View attachment 1812108

Wanabodi,

Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki"...

Pamoja na kwamba bandiko lako sio baya, ila ww bro nimegundua ni bendera fulani fuata upepo. Akitokea kiongozi dhalimu unajitoa ufahamu, akija kiongozi mfuata haki unarukia treni kwa Mbele! In short huna mama yoyote.
 
Mayalla wewe nguli katika uandishi lakini nakufananisha na PROF KABUDI huwa mnaendeshwa na wakati uliopo maana haya maneno mlitakiwa mumwambie MWENDAZAKE ATENDE HAKI SIO KUMPONDA KWAKUWA HAYUPO WAKATI ULIMSIFIA ALIPOKUWEPO
 
Mayalla wewe nguli katika uandishi lakini nakufananisha na PROF KABUDI huwa mnaendeshwa na wakati uliopo maana haya maneno mlitakiwa mumwambie MWENDAZAKE ATENDE HAKI SIO KUMPONDA KWAKUWA HAYUPO WAKATI ULIMSIFIA ALIPOKUWEPO
Hivi kabudi yupo ? Sijamsikia siku nyingi..na hizi changamoto za covid nisije kuwa nilipitwa.
 
Siwezi mlaumu P Mayalla, naelewa siasa za Tz aliyepo madarakani ndio mwenye nguvu, hivyo kama ameelekea kukosolewa hata wananchi hupata nguvu ya kushauri vitu vya maana. Kipindi cha JPM ilikuwa utake usitake utasifia, au ukae kimya kabisa.
Welldone P
 
Pascal, 'kuonyesha upungufu' kwenye kitu au mfumo fulani ni "kukosowa" - yaani kusema hiki (kiko sawa na kile) hakiko sawa. Mtu yeyote ambaye ni critical/intelligent/smart thinker anapaswa kufanya hivyo anapoona kuna sababu ya kufanya hivyo. Kukosowa siyo dhambi na wala hakuna haja ya kuona aibu au kuogopa kukosowa kama kuna sababu ya kufanya hivyo.
 
Hongera mkuu paskali kwa andiko zuri japo limekuja kwa kuchelewa sana. Sisi wengine tunaelewa kwanini imekuwa hivyo, tunakusamehe.
 
Kabendela anakulilia halafu uansema haki. Umelogwa na Lucifer
 
Kabendela anakulilia halafu uansema haki. Umelogwa na Lucifer
Unajua mimi na Kabendera tukoje?.
kanisome hapa Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kama kweli mimi ni mhusika wa kifo cha mama Kabendera, karma ya Mama Kabendera, would have taken care of me long ago!, au hujui kuwa kuna baadhi ya wahusika waliosababisha kifo cha huyu mama Kabendera wameisha shughulikiwa na karma?.
P
 
Mimi ni muumini wa karma, kama kweli mimi ni mhusika wa kifo cha mama Kabendera, karma would have taken care of me long ago, au hujui kuwa wahusika wa kifo cha mama Kabendera wameusha shughulikiwa na karma?.
P
These are revelations, no scientific proof of the existence of the so-called karma. All in all, moyo wa mtu ni msitu mnene, unahitaji maarifa na tahadhali kubwa kuuingi. Usimsemee mtu kwa kumwangalia usoni. Jiwe alikuwa anapiga magoti kanisani kama malaika, at the same time anaua watu kinyama/kishenzi, lkn mbele za watu anamtukuza Mungu kamahata kuzidi Malaika! kughiribu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…