Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

Vyombo vya Utoaji Haki, Visipo Tenda Haki, Mungu Huingilia Kati na Kutoa Adhabu ya Karma​
. Hawa na watu na wengine wengi wanasota na kuteseka katika magereza ya Tanzania kwa kukosa haki, kwa miaka na miaka, kesi zingine huu ni mwaka wa nne watu wako mahabusu, hata usikilizwaji wa kesi zao bado haujaanza, ma Shehe wa uamsho, huu ni mwaka wa 8!. Watu hawa na wengine wengi, japo ni watuhumiwa tuu, lakini hata watuhumiwa wanastahili haki. Kwa waumini wa kitu kinachoitwa karma kama mimi, naamini karma ya kilio cha haki, kwa watu kulia kwa kumwaga machozi, jasho na damu, kwa ukosefu wa haki kunakofanyika Tanzania, kwa Watanzania wenzetu, inaweza kuwa inawaponza na kusabisha kuondoka mapema kwa baadhi ya wapendwa wetu, ambao sisi tunawapenda na lakini Mungu anaamua kuingilia kati kwa kuwapenda zaidi na kuwaita kwake!.
View attachment 1825109

Paskali.
Rejea za Mfululizo huu wa makala za DPP
View attachment 1825142
View attachment 1825139
View attachment 1825143
Hili jambo, tumelipigia Sana kelele, tumepandisha ma thread na mathreads, makala na makala hatimaye Leo kimefanyika kitu.

wa kilichofanyika leo, Ile Nolle ya Mbowe, hongera Sana DPP, utabarikiwa, aliyekutuma atabarikiwa, Tanzania tutabarikiwa. Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana na haki ikaonekana imetendeka.

Mungu ibariki Tanzania,
Pasco
 
.​
Nakumbushia nilipoishia wiki iliyopita
Ni kwa muda mrefu Nchini kumekuwa na kilio cha haki kutoka kwa watu na asasi za kiraia, watu wanapigwa risasi mchana kweupe kwenye maeneo yenye ulinzi, na hakuna uchunguzi wowote!, watu wanapotea na wengine wanaokotwa kwenye viroba, hakuna uchunguzi wowote, Watu wanaswekwa mahabusu na kuozea jela kwa miaka na miaka bila kesi zao kusikilizwa, Kilio hiki cha haki, kimekuwa kikiangukia kwa viziwi kutoka kwa mamlaka, lakini kuja kwa Samia Suluhu Hassan kama rais mpya wa Tanzania, ingawa alikuja tu kwa bahati mbaya kufuatia kifo cha rais JPM, na Watanzania kumlilia sana Magufuli wetu, ujio wa rais Samia, sio tuu amekuja kuwafuta Watanzania machozi, ujio wake ni kama Baraka fulani, Samia ana jicho fulani kali, linajua kuponye na kuona mbali, limeona kilio cha haki kwa Watanzania, na kujitolea sio tuu kuwafuta Watanzania machozi, bali kuliponya taifa. Mtu muhimu kabisa wa kuyateleleza haya ni DPP.

PaskaliĹ
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
Ameonyesha kwa kauli na matendo!.
Mifano iko mingi tuu ya kumwaga hapa nakupa mifano mitano tuu!, ukitaka 10, nakupa, ukitaka 20 nakupa
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
Kwenye eneo la haki, so far Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendo, is the best of the best... ila sasa kwa kwa kadri siku zinavyokwenda, naona kama na yeye anaanza... itaendelea!, nitamalizia ...

P
 
Wanabodi,
ili mambo kama yale, yasijirudie, ila pia haki nyingine, zilikuwepo kwenye katiba, zikanyofolewa, sasa tunaomba zirudishwe.

PaskaliĹ
Hapa nilikuwa nikizungumzia haki ni stahiki na sio hisani!, hapa niliomba haki nyingine zote Watanzania tulizopewa na katiba yetu, zirudishwe!. Hizo haki tukizifanya ni hisani, tutaendelea kuwapigia magoti watawala na begging them kuziomba, lakini haki katiba, tukizifanya ni haki zetu, then haki hizi ni stahili, sio favours au hisani ya kusubiri huruma ya mtu, tuhurumiwe!. Kama ni haki, haki haziletwi kwenye kisahani cha chai, haki zinadaiwa na ikibidi, zinapiganiwa!.
Mwaka 2023, uwe mwaka wa kudai haki katiba zetu. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Happy New Year!.
Paskali
 
Hapa nilikuwa nikizungumzia haki ni stahiki na sio hisani!, hapa niliomba haki nyingine zote Watanzania tulizopewa na katiba yetu, zirudishwe!. Hizo haki tukizifanya ni hisani, tutaendelea kuwapigia magoti watawala na begging them kuziomba, lakini haki katiba, tukizifanya ni haki zetu, then haki hizi ni stahili, sio favours au hisani ya kusubiri huruma ya mtu, tuhurumiwe!. Kama ni haki, haki haziletwi kwenye kisahani cha chai, haki zinadaiwa na ikibidi, zinapiganiwa!.
Mwaka 2023, uwe mwaka wa kudai haki katiba zetu.
Happy New Year!.
Paskali
Tanzania tuna kila kitu, kuanzia watu wenye bidii, akili, ujuzi na nidhamu mpaka ardhi na mali asilia za pekee.

Mwaka 2023, uwe mwaka wa kuweka msingi mpya wa Taifa letu, KATIBA MPYA.
Naunga mkono hoja.
Kwenye hili la katiba, tunafanana Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Watawala wanaweza kuwa wawezeshaji kwenye yale ambayo hayatakuwa na impact kwao moja kwa moja, lakini kwa yale yatakayoonekana kuweka maslahi yao hatarini, mfano Katiba Mpya, hapo tusitegemee uwezeshaji wowote toka kwa watawala.
Mkuu denooJ, kwanza usiwategemee watawala kwa kila kitu!, mtu hawezi kulikata tawi alilokalia, au mkono unaomlisha!, hii issue ya katiba tukiifanya ni issue ya hisana au favour, then tutawaomba by begging
watawala kupitia majadiliano na watu kupiga hodi Ikulu kila kukicha kwenda kumpigia magoti mtu to beg!, fedha za vikao, fedha za uendeshaji, fedha za kupiga trips and beg for mabadiliko!. Ukikubaliwa unakuwa umehisaniwa!.

Lakini issue ya katiba, tukiifanya ni haki, right, haki sio hisani kuhitaji kuhudumiwa, haki haiombwi!, haki inadaiwa na ikibidi inapiganiwa!.

Hao wanao beg, waendelee ku beg ili waletewe kwenye kisahani cha chai, halafu sisi tunaojitambua na kutambua haki zetu, haki hatuhitaji kuziomba bali kuzidai na ikibidi kuzipigania.

Happy New Year!
P
 
Wanabodi,
tangu rais Mama Samia ameapishwa, agenda ya haki ni moja ya vipaumbele vyake, hivyo kifo cha JPM kilichomleta rais Mama Samia, is like a "blessing in disguise", kufuatia kilio cha haki kwa watuhumiwa, kupata sikio la kukisikia, na sasa Watanzania, wanakwenda kutendewa haki na amini usiamini, huu mchaka mchaka wa haki Samia alioanza nao, anaweza kuendelea nao hadi kutupatia katiba mpya!.

Paskali
Huyu Mama atabarikiwa sana!.
Ameruhusu mikutano ya siasa, amekubali kurekebisha sheria, na kubwa kuliko ni kufufua mchakato wa katiba mpya.
P
 
These are revelations, no scientific proof of the existence of the so-called karma.
Mkuu Retired , kiukweli jf ni kubwa na ina mengi!, huwezi amini leo ndio nimeiona hii comment yako kuhusu karma, kwamba there is no scientific proof of the existence of karma.

Kwanza nakukubaliana na wewe, there is no scientific proof to prove karma. Karma ni mambo ya imani kama ilivyo kuamini the existence of God, hakuna any scientific proof to prove that God does real exist!. Sio kila kitu unatumia scientific proof ku prove kuwepo wake!, vitu vingine unatumia tuu matokeo kukithibitisha!. Kama kwa kulitaja tuu jina la Mungu ku invokes miracles Healing na watu wanakuwa healed, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na vilema wanaponywa, what sort of evidence unahitaji to prove HIS existence?.

Karma is a law of cause and effects, kama imesema ukiua na wewe utauwawa, ikatokea sisi watatu, mimi wewe na mtu wa tatu tuko kwenye chumba, mwenzetu akaomba maji ya kunywa wewe ukaenda kumletea maji, akanywa na mara hiyo hiyo akaanza kutapika, akanyoosha na kavuta!. Uchunguzi ukafanywa ikakutikana chanzo cha kifo ni jamaa alilishwa sumu. Nikakumbuka hayo maji umemletea wewe. Karma inaelekeza ukiua, utauwawa!. Mara ghafla na wewe ukafa ghafla!. Jee kutahitajika any scientific proof kwangu kuamini kilichokuchomoa wewe ni karma ya yule jamaa yetu?.

Miongoni mwetu kuna watu wamepotea without trace, Ben Saanane, Azory Gwanda, kuna watu wamekufa vifo vya kutatanisha!, kuna miili ya watu inaopolewa kwenye viroba, kuna watu wanapigwa pyu pyu za kutosha mchana kweupe!, kisha kunakuja kutokea watu wetu wanachomoka!, do you need a proof kuthibitisha ni karma imewachomoa? "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Happy New Year.
P
 
Mkuu Retired , kiukweli jf ni kubwa na ina mengi!, huwezi amini leo ndio nimeiona hii comment yako kuhusu karma, kwamba there is no scientific proof of the existence of karma.

Kwanza nakukubaliana na wewe, there is no scientific proof to prove karma. Karma ni mambo ya imani kama ilivyo kuamini the existence of God, hakuna any scientific proof to prove that God does real exist!. Sio kila kitu unatumia scientific proof ku prove kuwepo wake!, vitu vingine unatumia tuu matokeo kukithibitisha!. Kama kwa kulitaja tuu jina la Mungu ku invokes miracles Healing na watu wanakuwa healed, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na vilema wanaponywa, what sort of evidence unahitaji to prove HIS existence?.

Karma is a law of cause and effects, kama imesema ukiua na wewe utauwawa, ikatokea sisi watatu, mimi wewe na mtu wa tatu tuko kwenye chumba, mwenzetu akaomba maji ya kunywa wewe ukaenda kumletea maji, akanywa na mara hiyo hiyo akaanza kutapika na kunyoisha kavuta!. Uchunguzi ukafanywa ikakutikana chanzo cha kifo ni jamaa alilishwa sumu kwenye maji, hayo maji umemletea wewe. Karma inaelekeza ukiua, utauwawa!. Mara ghafla na wewe ukafa ghafla!. Jee kutahitajika any scientific proof kwangu kuamini kilichokuchomoa wewe ni karma ya yule jamaa yetu!. Miongoni mwetu Luna watu wamepotea without trace, Ben Saanane, Azory Gwanda, Luna watu wamekufa vifo vya kutatanisha!, kuna miili ya watu inaopolewa kwenye viroba, kuna watu wanapigwa pyu pyu za kutosha mchana kweupe!, kisha kunakuja kutokea watu wetu wanachomoka!, do you need a proof kuthibitisha ni karma imewachomoa? "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Happy New Year.
P
Noted, I will come to you later
 
TOKA MAKTABA :

6 February 2020

Mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Magufuli, rais wa TLS atoa nondo kali:

Mfumo wa sheria za jinai ulioko sasa nchini Tanzania , hauna tofauti na sheria za kikoloni, zilizotumika kutia hofu wananchi ili watii amri za kikoloni bila kuhoji.

Kauli hiyo imetolewa na Dk. Rugemeleza Nshala, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo tarehe 6 Februari 2020, jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini.

Dk. Rugemeleza Nshala ameishauri serikali ya Rais John Magufuli kufanya mabadiliko ya sheria katika mfumo Haki Jinai, ili kuondoa sheria kandamizi zinazonyima watuhumiwa dhamana.

18 September 2021
Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu .

Azungumzia mazito kuhusu

  • Nolle prosequi / kufutiwa mashtaka bila kuelezwa sababu za msingi zaidi ya ofisi ya DPP kusema imeamua kutoendelea na mashtaka
  • Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP
  • Makubaliano kati ya raia na kitu kinachotisha kikubwa yaani raia asiishitaki serikali akiachiwa pia asidai fidia
  • Marekebisho ya sheria yanahitajika ili mahakama iweze kusikiliza haki ya dhamana na ikiwa inafaa mahakama ipewe mamlaka ya kumuachia mtuhumiwa wakati Polisi na waendesha mashtaka wakiwa wanaendelea kusaka ushahidi
  • Watuhumiwa wengi wanaozea ndani ya mahabusu gerezani kwa muda mrefu wakati inadaiwa vyombo vinaendelea na upelelezi
  • Mtuhumiwa siyo mhalifu mpaka hapo atakapo pata haki yake kwa kuhukumiwa na Mahakama.
  • Hii ya mtuhumiwa kuhukumiwa na Polisi, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka au kiongozi yeyote ni uvunjifu wa haki za raia na katiba.
  • Wenye jukumu la kurekebisha mfumo huu Jinai Haki, ni serikali iliyopo madarakani kwa kutumia wataalamu wake na bahati kuna wasomi bobezi waliopo ofisini , ni kama Mwanasheria Mkuu Jaji Dr. Feleshi, Waziri wa Sheria Prof. Palamagamba na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Wadau wengine kama TLS, Kituo cha Haki za Binadamu, Vyombo vya Habari na wananchi ni kupaza sauti na kupigia kelele mfumo huu mbovu wa Haki Jinai uliopo sasa hivi.
  • Polisi hawawezi kulaumiwa, wao Polisi hawana jukumu lolote bali kupiga saluti na kutekeleza amri na sheria hii mbovu inayoendesha Mfumo Haki Jamii ( Criminal Justice System) kama wanavyoelekezwa na viongozi wanaowaongoza jeshini na wanasiasa serikalini.
  • Watanzania tuamke toka dhamira zetu zilizo mfu, tupiganie haki hii wote kabisa bila kujali vyeo vyetu, vyama vya kisiasa, itikadi n.k

Rugemeleza Nshala, holds Doctor of Juridical Studies (S.J.D) from the Ivy league Harvard Law School. He holds a Bachelors of Laws Degree (LL.B) from the University of Dar es Salaam, Tanzania (his home country), which he obtained in 1993; the Masters of Laws Degree (LL.M) from Harvard Law School and Masters of Environmental Management (MEM) from Yale School of Forestry and Environmental Studies that he obtained in 1997 and 2007, respectively. Source : Harvard African Development Conference

Haki Jinai / Criminal Justice System

SERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA MFUMO WA HAKI JINAI​

Imewekwa: Wednesday 15, June 2022

SERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA MFUMO WA HAKI JINAI
View attachment 2471512
Serikali imejipanga kuboresha Mfumo wa Haki Jinai nchini kwa kubaini changamoto na kupendekeza maboresho katika mnyororo mzima wa haki jinai. Hayo yamebainishwa katika Kikao kazi kilichoandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria kwa kushirikiana na Wadau wa Haki jinai nchini. Kikao kazi hicho cha siku tano kimefunguliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu leo tarehe 13 Juni, 2022 Jijini Dodoma.

Dkt. Kazungu amewataka Wadau wa haki jinai kujadili changamoto zinazoukabili mnyororo mzima wa haki jinai na kupendekeza namna bora ya kuboresha mfumo huo ili kujenga mfumo madhubuti wa sheria unaoaminika na jamii katika utoaji haki.

Maoni yatakayotolewa katika kikao kazi hiki yatatumika kuboresha Andiko la Mapendekezo ya Maboresho ya Mfumo wa Haki Jinai Nchini kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 hadi 2026/27.

Aidha, Dkt. Kazungu amesema mabadiliko ya mfumo wa haki jinai yamekuja wakati muafaka kwani hayo yamekuwa moja ya maono ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro tangu alipoteuliwa kuongoza Wizara hiyo

Source : https://www.sheria.go.tz/news/serikali-yajipanga-kuboresha-mfumo-wa-haki-jinai

Mkuu bagamoyo, asante kwa hii post, kwa ruhusa yako, naomba kuitumia kama mbolea kuboreshea baadhi ya mabandiko yangu ya kilio cha haki.

Natanguliza shukrani.

Paskali
 
Wanabodi,

Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki".

Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu hulia kumlilia marehemu, na baada ya kifo, hufuatiwa na mabadiliko ama hasi, ama chanya, tumeshuhudia familia nyingi zimefiwa na baba mwenye nyumba, na mama kuachiwa peke yake mzigo wote wa kulea familia, ikitarajiwa familia ingetetereka, lakini mambo yakawa tofauti, huyo mama mjane akapa power ya ajabu, akawa na uwezo wa kuilea familia yake vizuri na wakawa na ustawi kuliko hata alipokuwepo baba mwenye nyumba, hivyo msiba ule, kuonekana kama ulikuwa ni blessing in disguise. Hivyo ndivyo hali ilivyo kwa ujio wa rais Mama Samia, awamu iliyopita suala la haki za watuhumiwa wa uhalifu, lilikuwa ni kama hisani ya DPP, viongozi, jeshi la polisi na mahakama, lakini tangu rais Mama Samia ameapishwa, agenda ya haki ni moja ya vipaumbele vyake, hivyo kifo cha JPM kilichomleta rais Mama Samia, is like a "blessing in disguise", kufuatia kilio cha haki kwa watuhumiwa, kupata sikio la kukisikia, na sasa Watanzania, wanakwenda kutendewa haki na amini usiamini, huu mchaka mchaka wa haki Samia alioanza nao, anaweza kuendelea nao hadi kutupatia katiba mpya!.

Hii ni sehemu ya pili ya mfululizo wa makala za "Kilio cha Haki ", kuwaonyesha jinsi DPP aliyepita alivyofifisha haki, ili kumsaidia DPP mpya, kuisafisha ofisi ya DPP, ili mambo kama yale, yasijirudie, ila pia haki nyingine, zilikuwepo kwenye katiba, zikanyofolewa, sasa tunaomba zirudishwe.

Nakumbushia nilipoishia wiki iliyopita
Ni kwa muda mrefu Nchini kumekuwa na kilio cha haki kutoka kwa watu na asasi za kiraia, watu wanapigwa risasi mchana kweupe kwenye maeneo yenye ulinzi, na hakuna uchunguzi wowote!, watu wanapotea na wengine wanaokotwa kwenye viroba, hakuna uchunguzi wowote, Watu wanaswekwa mahabusu na kuozea jela kwa miaka na miaka bila kesi zao kusikilizwa, Kilio hiki cha haki, kimekuwa kikiangukia kwa viziwi kutoka kwa mamlaka, lakini kuja kwa Samia Suluhu Hassan kama rais mpya wa Tanzania, ingawa alikuja tu kwa bahati mbaya kufuatia kifo cha rais JPM, na Watanzania kumlilia sana Magufuli wetu, ujio wa rais Samia, sio tuu amekuja kuwafuta Watanzania machozi, ujio wake ni kama Baraka fulani, Samia ana jicho fulani kali, linajua kuponye na kuona mbali, limeona kilio cha haki kwa Watanzania, na kujitolea sio tuu kuwafuta Watanzania machozi, bali kuliponya taifa. Mtu muhimu kabisa wa kuyateleleza haya ni DPP.

Huu ni udhalilishaji watuhumiwa!, lengo la kuwachuchumalisha watuhumiwa na kuwarusha kichurachura ni ili kuwa contain wasitoroke, hebu tuambiane ukweli, kweli Mzee kama James Rugemalira, kwa umri ule, na Seth kwa umbo lile, kweli hawa ni watu wa kuchuchumalishwa na kurushwa kichurachura ili kuwadhibiti wasitoroke?. Halafu askari magereza wanajisikia very proud kuwafanyia mahabusu vitendo hivi, huku wakiwasubiri waandishi kuja kuwapiga picha!.

Kanuni za Msingi za Haki
Tanzania inafuata Mfumo wa Sheria wa Kiingereza, ambao unafuata misingi ya haki ambayo ni pamoja binadamu wote ni sawa na wana haki sawa mbele ya sharia, kila mtu anahesabika hana hatia mpaka athibitishwe na mahakama, jukumu la kuthibisha hatia ni la upande wa mashtaka, hakuna mtu anayehukumiwa bila ya kusikilizwa, hakuna mtu anayehukumiwa mara mbili kwa kosa lile, na hata ukikutwa na hatia, unayo haki ya kukata rufaa. Kwenye haki za kisiasa, haki kuu ni haki ya kila Mtanzania kugombea nafasi yoyote ya uongozi, toka serikali ya mtaa hadi serikali, lakini haki hii ilikuja kuporwa kwa kulazimisha kugombea nafasi yoyote ni lazima udhaminiwe na chama cha siasa, huku ni kuwalazimisha Watanzania kujiunga na vyama kwa lazima. Turejeshe haki hizi kwenye katiba yetu.

Vyombo vya Utoaji Haki, Visipo Tenda Haki, Mungu Huingilia Kati na Kutoa Adhabu ya Karma
Sijajakutana na mtuhumiwa yeyote, kabla ya kuandika makala hii, kwa sababu hakuna atakayekubali, lakini kile kilichompata James Rugemarila, Harbinder Singth Sethi na Joseph Makandege, au wale Mashehe wa Uamsho, kinajulikana kwa kila mtu nchini Tanzania, kulingana na vyombo vya habari. Hawa na watu na wengine wengi wanasota na kuteseka katika magereza ya Tanzania kwa kukosa haki, kwa miaka na miaka, kesi zingine huu ni mwaka wa nne watu wako mahabusu, hata usikilizwaji wa kesi zao bado haujaanza, ma Shehe wa uamsho, huu ni mwaka wa 8!. Watu hawa na wengine wengi, japo ni watuhumiwa tuu, lakini hata watuhumiwa wanastahili haki. Kwa waumini wa kitu kinachoitwa karma kama mimi, naamini karma ya kilio cha haki, kwa watu kulia kwa kumwaga machozi, jasho na damu, kwa ukosefu wa haki kunakofanyika Tanzania, kwa Watanzania wenzetu, inaweza kuwa inawaponza na kusabisha kuondoka mapema kwa baadhi ya wapendwa wetu, ambao sisi tunawapenda na lakini Mungu anaamua kuingilia kati kwa kuwapenda zaidi na kuwaita kwake!.

Kesi ya James Rugemarila, Harbinder Singh Sethi na kesi ya Mashehe wa Uamsho ni Mfano Hai
James Rugemarila, Harbinder Singh Sethi na Joseph Makandege wameshtakiwa kwa makosa ya uhujumu wa uchumi na utakatishaji fedha, Dola za Marekani 151,569377.52 na TZS 8,522,219,917.44. Pesa hizi ziliwekwa chini ya akaunti ya escrow huko BOT, walishinda kesi hiyo, mahakama iliamuru serikali walipwe, pesa zilitolewa na kulipwa kwao kwa amri ya mahakama, kupitia miamala ya benki, na rekodi zote za kila muamala zipo, hii ndio inayoshangaza na wengi wetu, ni uchunguzi wa aina gani ambao unachukua muda mwingi hivi wakati fedha zilikuwa BOT hapa hapa, zikachotwa na kuhamishiwa benk nyingine mbili n azote zipo hapa hapa nchini?, sasa huu ni mwaka wa 4 uchunguzi bado unaendelea, ni uchunguzi wa aina gani huu?

Uko wapi Usawa Kabla ya Sheria?
Kifungu cha 7 cha Tamko la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (UDHR) kinasema: "Watu wote ni sawa mbele ya sheria". Kila mtu lazima atendewe sawa sawa chini ya sheria bila kujali rangi, jinsia, kabila, dini, ulemavu, au sifa zingine, bila upendeleo, ubaguzi au upendeleo. Tamko hilo limeingizwa kwenye katiba yetu, hivyo ukiukwaji wowote wa haki za binaadamu ni ukiukwaji wa katiba!.

Kwanini Serikali Haikukata Rufaa Kupinga Uamuzi wa Mahakama? Usawa Mbele ya Sheria Uko Wapi?
Ikiwa serikali haikuridhika na uamuzi wa mahakama IPTL walipwe, kwanini hawakukata rufaa?!. Haya na tukubali kuwa IPTL waliiba fedha hizo, ikiwa ni kweli waliiba fedha hizo, pesa hazikujibadilisha mikono yzenyewe zikatoka BOT kwenda kwenye akaunti za IPTL, walihamishiwa kisheria, ikiwa uhamisho huo ni wizi , kwanini ni James Rugemarila tu, Harbinder Singth Sethi na Joseph Makandege pekee?, watu wa BOT walitoa fedha hizo wako wapi? wapi Majaji walioamuru IPTL wako wapi maafisa wa serikali walioidhinisha malipo hayo?. Usawa uko wapi mbele ya sheria?

Hakuna Mtu Anayehukumiwa Bila Kusikilizwa, Kwanini Uhukumu Watu Jela Bila Kuwasikiliza?
Wakati kesi hii bado inasubiri kusikilizwa huku uchunguzi bado ukiendelea, ni zaidi ya miaka minne sasa, watuhumiwa wote wako gerezani, kwenye kesi ya Uamsho, Mashehe wale wako gerezani kama mahabusu kwa mwaka wa 8 sasa!. Kuna tofauti gani kwa mtuhumiwa anayekaa miaka 4 au 8 gerezani kama mahabusu, kusubiri kesi yake kusikilizwa, na mfungwa aliyehukumiwa kifungo cha miaka 4 au 8 jela?. Kitendo cha mahabusu, kukaa miaka 4 hadi 8 mahabusi ni kama wamehukumiwa bila kusikilizwa. Vifungo vya miaka 4 na miaka jela!. Kanuni ya haki inasema, "Hakuna mtu anayehukumiwa bila kusikilizwa", Iko wapi dhana ya kutokuwa na hatia mpaka uthibitishwe?, Na hata ikitokea kesi hiyo ikasikilizwa na watuhumiwa hao wasipokutwa na hatia, hakuna kiwango cha fidia unaweza kuwalipa kuwafidia muda wao wote uliowashikilia gereza bila hatia.

Hakuna Mtu Atakaye Shitakiwa Mara Mbili kwa Kosa Hilo Hilo ”, Angalia Hapa Nini Hiki Kinafanywa na DPP Wetu?
Kana kwamba yote hayo hayatoshi, serikali yetu ilikiuka kanuni nyingine ya haki ya asili ambayo inasema "hakuna mtu anayehukumiwa mara mbili kwa kosa moja". Huku DPP, akifungua kesi ya jinai ya uhujumu na utakatishaji fedha ya Dola 151,569377.52 na TZS 8,522,219,917.44 . DPP huyo huyo akafungua Kesi nyingine ya mada, Kesi Na. 90 ya 2018 kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati dhidi ya IPTL, kampuni inayomilikiwa na James Rugemarila na Harbinder Singth Sethi ambapo serikali inadai madai ya Dola 151,569377.52 na TZS 8,522,219,917.44 . Yaani serikali uwashitaki watu kwa jinai ya wizi wa fedha na hapo hapo kufungua kesi ya madai kuzidai fedha hizo hizo!. Yaani fedha hizo huku ni jinai na fedha hizo hizo ni fedha halali.

Je, Serikali Yetu Pia Inasafisha Pesa Chafu? Je, Huu Sio Usafishaji wa Pesa?
Unapowashitaki watu kwa kosa la jinai la uhujumu wa uchumi na utakatishaji fedha, hiyo inamaanisha fedha hiyo inayotakatishwa ni fedha chafu, fedha ya wizi, ni ama zimeibwa, ama zimepatikana kwa njia isiyo halali, lakini serikali hiyo hiyo iliyofungua kesi ya jinai, ya utakatishaji fedha, halafu wakati huo huo, kufungua kesi nyingine ya madai ukidai pesa ile ile, kwanza ni kinyume cha sharia ya double jeopardy lakini hii inamaanisha nini kwa serikali inayodai hii ni pesa chafu iliyoibiwa, katika kesi moja ya jinai, halafu ifungue kesi nyingine, ya madai na kutafuta suluhu ya amani?. Kitendo cha kuigeuza pesa iliyopatikana kwa jinai ya uhalifu, na kuja kudai fedha hizo hizo kwenye kesi ya madai, huu sio utakatishaji wa fedha kwa njia za kiserikali? . Je kuna tofauti gani kati ya hatua hii na zile za serikali zinazosafirisha mihadarati ili kupata pesa za kuendesha serikali yao?

Kama Kanuni ya Haki ni Mtu Asishitakiwe Mara Mbili kwa Kosa Lile Lile, Hiki Kinachofanywa na DPP, ni Nini?
Kwa maoni yangu, sio haki kwa DPP kuwafungulia watuhumiwa kesi ya jinai ya uhujumu wa uchumi na Utakatishaji fedha, halafu hapo hapo, wakafungua kesi nyingine ya madai, kwa DPP huyo huyo kuzidai tena fedha hizo. Watuhumiwa wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 4 sasa tangu wakamatwe. Kwa hivyo, Serikali haikuwa na ushahidi wa kutosha kuwashtaki watuhumiwa lakini kesi ya madai ambayo sasa imesuluhishwa Mahakamani, ingekuwa ya kutosha kutoa madai yake.

Ninaandika maoni haya wakati ninajua hali ya kesi za uhujumu na utakatishaji wa fedha, upelelezi haujakamilika hadi leo huku watuhumiwa wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 4 sasa bila kesi, kusikilizwa, hiyo ni kinyume na Kifungu cha 29 (6) cha Sheria ya Uhujumu [Sura 200 R.E. 2019] kile kinachotoa; "Ambapo Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma au ofisa mwingine wa umma, baada ya kusoma jalada la kesi ya polisi na taarifa za mashahidi waliokusudiwa, ana maoni kwamba ushahidi uliopo hautoshi kuidhinisha kushtakiwa, ilimbidi asipeleke kesi mahakamani. Wenzetu Afrika Kusini, upelele unafanywa hadi ukamilike ndipo washitakiwa wanakamatwa na kufikishwa mahakamani na kesi yao kusikilizwa, upepelezi gani huu wa miaka zaidi ya minne?.
Hhhh
Tukutane wiki ijayo kumalizia kilio cha haki, Sehemu ya Tatu na ya mwisho kwa kutoa mapendekezo kwa DPP.

Paskali
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.

Hatimaye kipindi kuhusu haki kinaruka Channel Ten kila Jumapili Saa 3:00 usiku on Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=IXfA8sZkNPxpaeZn
P
 
Wanabodi,
lakini tangu rais Mama Samia ameapishwa, agenda ya haki ni moja ya vipaumbele vyake, hivyo kifo cha JPM kilichomleta rais Mama Samia, is like a "blessing in disguise", kufuatia kilio cha haki kwa watuhumiwa, kupata sikio la kukisikia, na sasa Watanzania, wanakwenda kutendewa haki na amini usiamini, huu mchaka mchaka wa haki Samia alioanza nao, anaweza kuendelea nao hadi kutupatia katiba mpya!.

Paskali
Hakuna mwana CCM hata mmoja anayethubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi.
Wewe Paskali huwezi kuthubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi, hususan kwenye 'forum' za CCM.
Duh...!, Mkuu fundimchundo , karibu bandiko hili, jee hapa ninadai nini?.
P
 
Ni kwa muda mrefu Nchini kumekuwa na kilio cha haki kutoka kwa watu na asasi za kiraia, watu wanapigwa risasi mchana kweupe kwenye maeneo yenye ulinzi, na hakuna uchunguzi wowote!, watu wanapotea na wengine wanaokotwa kwenye viroba, hakuna uchunguzi wowote, Watu wanaswekwa mahabusu na kuozea jela kwa miaka na miaka bila kesi zao kusikilizwa, Kilio hiki cha haki, kimekuwa kikiangukia kwa viziwi kutoka kwa mamlaka, lakini kuja kwa Samia Suluhu Hassan kama rais mpya wa Tanzania, ingawa alikuja tu kwa bahati mbaya kufuatia kifo cha rais JPM, na Watanzania kumlilia sana Magufuli wetu, ujio wa rais Samia, sio tuu amekuja kuwafuta Watanzania machozi, ujio wake ni kama Baraka fulani, Samia ana jicho fulani kali, linajua kuponye na kuona mbali, limeona kilio cha haki kwa Watanzania, na kujitolea sio tuu kuwafuta Watanzania machozi, bali kuliponya taifa. Mtu muhimu

Paskali
Maza alianza vizuri ila mpaka sasa kwa Tanzania haki ni hisani ya serikali Bunge na Mahakama
Haki Sio Hisani-Nipashe 06_06_21.png

To quote:

The positive role that judges could play in Africa has been hampered by
1. The increasing politicization of the judiciary,
2. Judicial corruption,
3. Lack of resources and
4. Judicial conservatism,
according to Professor Charles Fombad of the Institute for International and Comparative Law in Africa at the University of Pretoria
Karibu mitaa hii nmeandika makala 4 mfululizo magazetini kulalamikia uwezo wa baadhi ya majaji wetu
P
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia!.
P
 
Back
Top Bottom