Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

Hili jambo, tumelipigia Sana kelele, tumepandisha ma thread na mathreads, makala na makala hatimaye Leo kimefanyika kitu.

wa kilichofanyika leo, Ile Nolle ya Mbowe, hongera Sana DPP, utabarikiwa, aliyekutuma atabarikiwa, Tanzania tutabarikiwa. Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana na haki ikaonekana imetendeka.

Mungu ibariki Tanzania,
Pasco
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
Vtlvjynuininkñnnnuflinjknññin, ñoonni, nnno. Hh ug lygj
 
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
Ameonyesha kwa kauli na matendo!.
Mifano iko mingi tuu ya kumwaga hapa nakupa mifano mitano tuu!, ukitaka 10, nakupa, ukitaka 20 nakupa
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
Kwenye eneo la haki, so far Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendo, is the best of the best... ila sasa kwa kwa kadri siku zinavyokwenda, naona kama na yeye anaanza... itaendelea!, nitamalizia ...

P
 

Wanabodi,
ili mambo kama yale, yasijirudie, ila pia haki nyingine, zilikuwepo kwenye katiba, zikanyofolewa, sasa tunaomba zirudishwe.

PaskaliĹ
Hapa nilikuwa nikizungumzia haki ni stahiki na sio hisani!, hapa niliomba haki nyingine zote Watanzania tulizopewa na katiba yetu, zirudishwe!. Hizo haki tukizifanya ni hisani, tutaendelea kuwapigia magoti watawala na begging them kuziomba, lakini haki katiba, tukizifanya ni haki zetu, then haki hizi ni stahili, sio favours au hisani ya kusubiri huruma ya mtu, tuhurumiwe!. Kama ni haki, haki haziletwi kwenye kisahani cha chai, haki zinadaiwa na ikibidi, zinapiganiwa!.
Mwaka 2023, uwe mwaka wa kudai haki katiba zetu. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Happy New Year!.
Paskali
 
Tanzania tuna kila kitu, kuanzia watu wenye bidii, akili, ujuzi na nidhamu mpaka ardhi na mali asilia za pekee.

Mwaka 2023, uwe mwaka wa kuweka msingi mpya wa Taifa letu, KATIBA MPYA.
Naunga mkono hoja.
Kwenye hili la katiba, tunafanana Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Watawala wanaweza kuwa wawezeshaji kwenye yale ambayo hayatakuwa na impact kwao moja kwa moja, lakini kwa yale yatakayoonekana kuweka maslahi yao hatarini, mfano Katiba Mpya, hapo tusitegemee uwezeshaji wowote toka kwa watawala.
Mkuu denooJ, kwanza usiwategemee watawala kwa kila kitu!, mtu hawezi kulikata tawi alilokalia, au mkono unaomlisha!, hii issue ya katiba tukiifanya ni issue ya hisana au favour, then tutawaomba by begging
watawala kupitia majadiliano na watu kupiga hodi Ikulu kila kukicha kwenda kumpigia magoti mtu to beg!, fedha za vikao, fedha za uendeshaji, fedha za kupiga trips and beg for mabadiliko!. Ukikubaliwa unakuwa umehisaniwa!.

Lakini issue ya katiba, tukiifanya ni haki, right, haki sio hisani kuhitaji kuhudumiwa, haki haiombwi!, haki inadaiwa na ikibidi inapiganiwa!.

Hao wanao beg, waendelee ku beg ili waletewe kwenye kisahani cha chai, halafu sisi tunaojitambua na kutambua haki zetu, haki hatuhitaji kuziomba bali kuzidai na ikibidi kuzipigania.

Happy New Year!
P
 
Huyu Mama atabarikiwa sana!.
Ameruhusu mikutano ya siasa, amekubali kurekebisha sheria, na kubwa kuliko ni kufufua mchakato wa katiba mpya.
P
 
These are revelations, no scientific proof of the existence of the so-called karma.
Mkuu Retired , kiukweli jf ni kubwa na ina mengi!, huwezi amini leo ndio nimeiona hii comment yako kuhusu karma, kwamba there is no scientific proof of the existence of karma.

Kwanza nakukubaliana na wewe, there is no scientific proof to prove karma. Karma ni mambo ya imani kama ilivyo kuamini the existence of God, hakuna any scientific proof to prove that God does real exist!. Sio kila kitu unatumia scientific proof ku prove kuwepo wake!, vitu vingine unatumia tuu matokeo kukithibitisha!. Kama kwa kulitaja tuu jina la Mungu ku invokes miracles Healing na watu wanakuwa healed, vipofu wanaona, viziwi wanasikia na vilema wanaponywa, what sort of evidence unahitaji to prove HIS existence?.

Karma is a law of cause and effects, kama imesema ukiua na wewe utauwawa, ikatokea sisi watatu, mimi wewe na mtu wa tatu tuko kwenye chumba, mwenzetu akaomba maji ya kunywa wewe ukaenda kumletea maji, akanywa na mara hiyo hiyo akaanza kutapika, akanyoosha na kavuta!. Uchunguzi ukafanywa ikakutikana chanzo cha kifo ni jamaa alilishwa sumu. Nikakumbuka hayo maji umemletea wewe. Karma inaelekeza ukiua, utauwawa!. Mara ghafla na wewe ukafa ghafla!. Jee kutahitajika any scientific proof kwangu kuamini kilichokuchomoa wewe ni karma ya yule jamaa yetu?.

Miongoni mwetu kuna watu wamepotea without trace, Ben Saanane, Azory Gwanda, kuna watu wamekufa vifo vya kutatanisha!, kuna miili ya watu inaopolewa kwenye viroba, kuna watu wanapigwa pyu pyu za kutosha mchana kweupe!, kisha kunakuja kutokea watu wetu wanachomoka!, do you need a proof kuthibitisha ni karma imewachomoa? "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Happy New Year.
P
 
Noted, I will come to you later
 
Mkuu bagamoyo, asante kwa hii post, kwa ruhusa yako, naomba kuitumia kama mbolea kuboreshea baadhi ya mabandiko yangu ya kilio cha haki.

Natanguliza shukrani.

Paskali
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Hatimaye kipindi kuhusu haki kinaruka Channel Ten kila Jumapili Saa 3:00 usiku on Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=IXfA8sZkNPxpaeZnP
 
Hakuna mwana CCM hata mmoja anayethubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi.
Wewe Paskali huwezi kuthubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi, hususan kwenye 'forum' za CCM.
Duh...!, Mkuu fundimchundo , karibu bandiko hili, jee hapa ninadai nini?.
P
 
Maza alianza vizuri ila mpaka sasa kwa Tanzania haki ni hisani ya serikali Bunge na Mahakama

Karibu mitaa hii nmeandika makala 4 mfululizo magazetini kulalamikia uwezo wa baadhi ya majaji wetu
P
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…