Asante Rais Samia kwa mwaka 2022

Samia kaanzisha nini? Anafanya kazi za Magu tu
 
Kazi kwelikweli! Mengine siyo vizuri kuyasemea, muda tu ndiyo huamua kwa maneno. 2023 ndiyo hii hapa mkononi, moja ya mwaka muhimu sana kwenye historia ya nchi yetu.

Mungu atujalie uzima, hekima, nguvu na ujasiri wa kuyashuhudia mazito ya mwaka ujao.....
 
Tunaongezea. Hongera sake kwa midege mikubwa kuingia nchini na kubeba wanyama wakiwa hai.
Hongera zake kwa serikali yake kuwa na matumizi makubwa na kukataa kufunga mkanda.
Hongera zake kwa kusafiri sana na kuiacha nchi ikiliwa na mchwa.
Hongera zake kwa kutokuthibiti hela za umma na watu kujichotea tu huku yeye akijisifia kupewa mikopo hatarishi na kuingiza dola kadhaa za #royaltour
Hongera zake kwa kuishi kama malkia au mke wa malkia akisahau alipotoka na kusahau walalahoi wanaochangia maisha yake ya anasa.
Hongera zake kugeuza jasho nguvu maarifa na sifa za maendeleo ya JPM na kuyafanya yake ili eti apate Urals wa kuibiwa kura 2025
 
Maharagwe kilo Tsh.4000 , alizeti bei imeshuka Lt 1 mafuta Tsh.2500 nimesikia wahindi wanaingiza mawese kutoka Indonesia kwa kasi ya kimbunga. Limama halielewi maana ya "protectionism " kulinda soko la ndani.
Kuna baadhi ya mambo yanatia hasira sana, anashindwa kulinda viwanda vidogo vya ndani kwa kuwafurahisha wahindi na waarabu maana ndio biashara zao hizo kuagiza mafuta ya viwandani kutoka nje ya nchi.
Mama anaonejana eidha hana power kamili au huwa anadanganywa na wasaidizi wake...yule Waria Msomali sijui anafanya nn pale wizara ya kilimo.
 
Mzee wa kula unit na nyama upo habar za siku tumepotezana kitambo mjomba
 

Hizi story za kuokota unatoa wapi.?
 

Mwaka ujao ni neema tupu, kwa Rehema za Mwenyezi wapiga ramli mtaendelea na ramli zenu.

Hakuna zito litakalompata mja wa Mwenyezi Mungu pasipo na njia.
 
Hizi story za kuokota unatoa wapi.?
Weka zako za kumsifia na kumvalisha kilemba cha ukoka basi.
Fanya kama TBC radio na TV. Sifia sifia sifia mpaka asifike wakati mama hamna kitu pale. Kama kura hazitaibiwa hapati kiti Ikulu huyo
 
Weka zako za kumsifia na kumvalisha kilemba cha ukoka basi.
Fanya kama TBC radio na TV. Sifia sifia sifia mpaka asifike wakati mama hamna kitu pale. Kama kura hazitaibiwa hapati kiti Ikulu huyo

I speak from my love for the people of Tanzania and sometimes to speak against the relentless moronic parroted propaganda against a country that is my homeland, and keeps me + over 60 millions other people safe, free and happy.
Hii ni Tanzania ya Samia Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…