Asante Rais Samia, sisi wavuvi wa sangara na wafuaji sasa tutauza bidhaa zetu Comoro

Asante Rais Samia, sisi wavuvi wa sangara na wafuaji sasa tutauza bidhaa zetu Comoro

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo.

Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati.

Umefanya jambo la maana sana kutukumbuka sisi walala hoi.

Wapuuzi sana. Ukiwauliza nyie mlitakaje hawana majibu. Yaani sjui ingekuwaje kama dhamana ya kifo isingekuwa toka kwa Mwenyezimungu au jiwe angekufa kifo kama cha Karume.
Hawajitambui hata chembe maana ni watu hatari sana.

Niliwadharau kipindi Gwaji alipotoa vipeperushi ili waunde umoja wao wa sukuma gang
 
Wapuuzi sana. Ukiwauliza nyie mlitakaje hawana majibu. Yaani sjui ingekuwaje kama dhamana ya kifo isingekuwa toka kwa Mwenyezimungu au jiwe angekufa kifo kama cha Karume.
Mkuu umesahau kumtaja membe kuwa naye amekata kamba hivi karibuni
 
Hilo dude jemadari chuma cha pua aliaga keshabonyeza oda . Kila swaga mnazoziona hapo ni products za huyo mwamba, tunasubiri kuona vya wengine may be kuanzia 2027
 
Nina wasiwasi huenda zikauzwa tena kwa waarabu.maana bandari na ngorongoro tayari wamekabidhiwa wajichotee mali
 
Hilo dude jemadari chuma cha pua aliaga keshabonyeza oda . Kila swaga mnazoziona hapo ni products za huyo mwamba, tunasubiri kuona vya wengine may be kuanzia 2027
Ebu tuondolee upumbavu wako wasukuma gang
 
Back
Top Bottom