Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu yeye aliitoa wapi? Magu alitoa advance ya mshahara wake ili annulie ndege ya watanzania?Ndege Samia kaitoa wapi , hiyo ndege ilinunuliwa na magu ata km hamtaki , Samia hajui ata Bei yake
Uwezo wa mtanzania kufikiri naona ni mdogo sana. Hivi unamaanisha hawa wavuvi walishindwa kupeleka sangara Comoro kwa kukosa ndege? Hiyo ndege itabena viroba viwili vya sangara? I mean, hakuna ndege za kampuni nyingine zinazofanya safari ktk njia hiyo? Kama ni hivyo hiyo njia sio fursa kwa atcl.Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo.
Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati.
Umefanya jambo la maana sana kutukumbuka sisi walala hoi.
View attachment 2637979
Ungeanza kwanza kufahamu msimamo wangu kisiasa na mahusiano yangu na ccm hapo nadhani ungekuwa na cha kuandika juu ya thread yangu.Uwezo wa mtanzania kufikiri naona ni mdogo sana. Hivi unamaanisha hawa wavuvi walishindwa kupeleka sangara Comoro kwa kukosa ndege? Hiyo ndege itabena viroba viwili vya sangara? I mean, hakuna ndege za kampuni nyingine zinazofanya safari ktk njia hiyo? Kama ni hivyo hiyo njia sio fursa kwa atcl.
Utakumbuka tuliimba sana zile za abiria zingeongeza idadi ya watalii- hivi watalii wangapi wanaingia kwa kutumia ndege za atcl?
Tunataka kuazima akili ya kumtuma waziri na dege zima kwenda kuchukua dawa za kishirikina carton 2 toka Madagascar! [emoji23][emoji23][emoji23]
amenunulia kaburini siyo? Siku hizi ndege zinatoka kuzimu? Hata hivyo Samia wa watu si wa hivyo, hajawahi kujisifu mama wa watu kuwa nimefanya hiki na kile. Ndege imenunuliwa na wananchiwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ndege Samia kaitoa wapi , hiyo ndege ilinunuliwa na magu ata km hamtaki , Samia hajui ata Bei yake
....PERIOD....amenunulia kaburini siyo? Siku hizi ndege zinatoka kuzimu? Hata hivyo Samia wa watu si wa hivyo, hajawahi kujisifu mama wa watu kuwa nimefanya hiki na kile. Ndege imenunuliwa na wananchiwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sorry. Sina shida na msimamo wako kisiasa. Shida yangu ni pale unapozungumzia wavuvi kupeleka sangara Comoro kutokana na ujio wa hii ndege, kana kwamba hapo kabla walijipanga kufanya hiyo biashara wakakosa usafiri.Ungeanza kwanza kufahamu msimamo wangu kisiasa na mahusiano yangu na ccm hapo nadhani ungekuwa na cha kuandika juu ya thread yangu.
Ndege imenunuliwa na serikali!!! Siyo Magu wala Samia aliyetoa pesa mfukoni mwake akanunua ndege.Ndege Samia kaitoa wapi , hiyo ndege ilinunuliwa na magu ata km hamtaki , Samia hajui ata Bei yake
Kwani membe amefukiwa na nini, tope?Kikubwa ni Jiwe kufukiwa na udongo