Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa

Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo limepokelewa na watu wote kwa mikono miwili bila kujali itikadi ya vyama vya siasa, kwani sisi kwa sisi tunahamasishana kuwepo nyumbani au kuacha mtu atakayekuwa na uelewa na taarifa zote zinazohitajika, kwa kuwa pia tumeshayaona maswali husika kupitia mitandao, kwa hiyo ushirikiano utakuwa mkubwa utakao tolewa na kupewa makarani wa sensa,

Asante kwa kujenga umoja wa kitaifa ulio Rahisisha watu kuwa na hamasa maana sote Ni wamoja na wote tunaona zoezi hili Ni letu sote kwa manufaa yetu wote kwa pamoja katika kupanga mipango ya maendeleo kwa Taifa letu

Mwisho ni ushauri wangu kwako mh Rais kutoa maagizo kwa waratibu wa zoezi hili ngazi za mikoa wahakikishe makarani wote wanapatiwa vifaa vyote muhimu katika kufanikisha zoezi hili, pia kutomfumbia macho atakayeleta dosari katika zoezi hili nyeti na muhimu kwa mstakabari wa Taifa letu, Asante
kwenye tozo tu ndipo anatuangusha hasa tozo ya benki, tozo ya vocha za simu/muda wa maongezi, kutuma pesa.
 
Tuipende nchi yetu na tufurahi kuona nchi yetu ikijengwa kwa mikono yetu na jasho letu wenyewe, Tusipende kila siku kuona nchi yetu ikijengwa kwa misaaada, maana siku wakiacha kutusaidia tutaangamia, tuanze kuijenga nchi yetu wenyewe Kama walivyoanzaga kuzijenga nao nchi zao kufika hapo walipo
 
Yaani ulivyo tusemea, kama kuna mtu anatoka dunia nyingine anaweza akashangaa!
Kumbe asilimia kubwa ya wananchi wanaona hilo zoezi lenyewe kama ni la kidwanzi tu.

Maana wanajua kitakacho tokea baada ya hapa ni kuanzishiwa kwa tozo mpya ya kuhesabiwa, ili kufidia gharama ya posho mlizogawana.
🤣🤣
 
Tuipende nchi yetu na tufurahi kuona nchi yetu ikijengwa kwa mikono yetu na jasho letu wenyewe, Tusipende kila siku kuona nchi yetu ikijengwa kwa misaaada, maana siku wakiacha kutusaidia tutaangamia, tuanze kuijenga nchi yetu wenyewe Kama walivyoanzaga kuzijenga nao nchi zao kufika hapo walipo
suala la misaada limeingiaje. inaonekana umetawaliwa na roho ya omba omba sana

nchii yenye almasi, cortan, dhahabu, raslimali za misitu, gesi asili na vivutio kibao vya utalii....na bado hatujagusa raslimali zilizomo baharini...bado unaona ni sawa serikali kuvizia mwananchi akwaruze vocha ichomoe hapo? ....who schooled you?
 
Unafikiri hizo Rasilimali unavuna tu bila teknolojia na mtaji wa kutosha, unazani hata ungekuwa na gesi ya kutosha ardhini unaivuna tu kirahisi Kama ufukuavyo mchanga wa kujengea, inahitaji pesa Tena nyingi Sana tu, unahitaji teknolojia kubwa tu, unahitaji mambo mengi tu na siyo kuvuna Kama mahindi shambani

Toa ushirikiano kwa makarani wa Sensa watakapopita katika kaya yako
 
Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa

Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo limepokelewa na watu wote kwa mikono miwili bila kujali itikadi ya vyama vya siasa, kwani sisi kwa sisi tunahamasishana kuwepo nyumbani au kuacha mtu atakayekuwa na uelewa na taarifa zote zinazohitajika, kwa kuwa pia tumeshayaona maswali husika kupitia mitandao, kwa hiyo ushirikiano utakuwa mkubwa utakao tolewa na kupewa makarani wa sensa,

Asante kwa kujenga umoja wa kitaifa ulio Rahisisha watu kuwa na hamasa maana sote Ni wamoja na wote tunaona zoezi hili Ni letu sote kwa manufaa yetu wote kwa pamoja katika kupanga mipango ya maendeleo kwa Taifa letu

Mwisho ni ushauri wangu kwako mh Rais kutoa maagizo kwa waratibu wa zoezi hili ngazi za mikoa wahakikishe makarani wote wanapatiwa vifaa vyote muhimu katika kufanikisha zoezi hili, pia kutomfumbia macho atakayeleta dosari katika zoezi hili nyeti na muhimu kwa mstakabari wa Taifa letu, Asante
TUKO TAYARI
 
Unafikiri hizo Rasilimali unavuna tu bila teknolojia na mtaji wa kutosha, unazani hata ungekuwa na gesi ya kutosha ardhini unaivuna tu kirahisi Kama ufukuavyo mchanga wa kujengea, inahitaji pesa Tena nyingi Sana tu, unahitaji teknolojia kubwa tu, unahitaji mambo mengi tu na siyo kuvuna Kama mahindi shambani

Toa ushirikiano kwa makarani wa Sensa watakapopita katika kaya yako
take off your stupid academic lecture

unadhani hata hao wanakuja na mitaji pesa wanazo cash au wanakopa?

kama nchi inaweza ikakopa hata world bank, kwa nini isikope pesa kama mitaji kwa ajili ya kuvuna raslimali hizo?

ulisoma chuo gani wewe uko shallow hivi?
 
Tumekopa kiasi gani huko benki ya Dunia mpaka Sasa hivi, siyo lazima ukope wewe, Bali unaweka Sheria anakuja mwekezaji unakaa unazungumza Naye namna ya kuvuna Rasilimali na mwisho wa siku gharama zake tunazitoa halafu inaangaliwa faida Ni shilingi ngapi inayotakiwa kugawanywa na wewe mwenye Mali unapata ngapi,

Hujuwi huko kukopa Kuna riba zinazotakiwa kulipwa, au unazani Ni sawa na kukopa tu kwa jirani yako hapo ulipo, swala haliishii pia kwenye hela tu, swali Ni je pamoja na kukopa hizo hela unazotaka wewe je unao ujuzi, unayo teknolojia ya kutosha, unao wataalamu wa kutosha? Unayo Miundombinu ya kukamilisha suala Hilo,

Fikilia nje ya boksi siyo kuwaza kinadhalia Nadhalia tu

Back
Top Bottom