Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

kwenye tozo tu ndipo anatuangusha hasa tozo ya benki, tozo ya vocha za simu/muda wa maongezi, kutuma pesa.
 
kwenye tozo tu ndipo anatuangusha hasa tozo ya benki, tozo ya vocha za simu/muda wa maongezi, kutuma pesa.
Tuipende nchi yetu na tufurahi kuona nchi yetu ikijengwa kwa mikono yetu na jasho letu wenyewe, Tusipende kila siku kuona nchi yetu ikijengwa kwa misaaada, maana siku wakiacha kutusaidia tutaangamia, tuanze kuijenga nchi yetu wenyewe Kama walivyoanzaga kuzijenga nao nchi zao kufika hapo walipo
 
🤣🤣
 
suala la misaada limeingiaje. inaonekana umetawaliwa na roho ya omba omba sana

nchii yenye almasi, cortan, dhahabu, raslimali za misitu, gesi asili na vivutio kibao vya utalii....na bado hatujagusa raslimali zilizomo baharini...bado unaona ni sawa serikali kuvizia mwananchi akwaruze vocha ichomoe hapo? ....who schooled you?
 
Unafikiri hizo Rasilimali unavuna tu bila teknolojia na mtaji wa kutosha, unazani hata ungekuwa na gesi ya kutosha ardhini unaivuna tu kirahisi Kama ufukuavyo mchanga wa kujengea, inahitaji pesa Tena nyingi Sana tu, unahitaji teknolojia kubwa tu, unahitaji mambo mengi tu na siyo kuvuna Kama mahindi shambani

Toa ushirikiano kwa makarani wa Sensa watakapopita katika kaya yako
 
TUKO TAYARI
 
take off your stupid academic lecture

unadhani hata hao wanakuja na mitaji pesa wanazo cash au wanakopa?

kama nchi inaweza ikakopa hata world bank, kwa nini isikope pesa kama mitaji kwa ajili ya kuvuna raslimali hizo?

ulisoma chuo gani wewe uko shallow hivi?
 
Tumekopa kiasi gani huko benki ya Dunia mpaka Sasa hivi, siyo lazima ukope wewe, Bali unaweka Sheria anakuja mwekezaji unakaa unazungumza Naye namna ya kuvuna Rasilimali na mwisho wa siku gharama zake tunazitoa halafu inaangaliwa faida Ni shilingi ngapi inayotakiwa kugawanywa na wewe mwenye Mali unapata ngapi,

Hujuwi huko kukopa Kuna riba zinazotakiwa kulipwa, au unazani Ni sawa na kukopa tu kwa jirani yako hapo ulipo, swala haliishii pia kwenye hela tu, swali Ni je pamoja na kukopa hizo hela unazotaka wewe je unao ujuzi, unayo teknolojia ya kutosha, unao wataalamu wa kutosha? Unayo Miundombinu ya kukamilisha suala Hilo,

Fikilia nje ya boksi siyo kuwaza kinadhalia Nadhalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…