Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Ben alikuwa mtu makini sana, na alitoka Kusini na Membe, kama Benard alikuwa Mbobezi kama anavyopambwa kwanini Ben hakumteua mwanakusini mwenzie?Membe anakuzwa sana, jamaa ni under dog tu
Hata kwny cabinet ya kwanza ya Jk iliyojaa vingunge 2005 alikuwa Naibu Waziri na kilichomuibua ni shavu alilopata Migiro
JK Kamtumia kama chambo cha kuwaingiza maboya kina Lowasa miaka ile wakajikuta wanatumia nguvu kupambana na kivuli na kumuacha Mgombea wa Chama salama
'…Wewe ( JPM) nenda kachukue fomu, …kufaa kwako au kutokufaa tutajua sie…'_Jk 2015
Siku ya kukabidhiwa Tausi kwa Ma Rais wastaaf…Jpm alijikuta anaropoka kuwa Jakaya alianza kumtembeza Ikulu na kumkabidhi Ofisi kidogo kidogo hata kabla kampen hazijaanza…
Membe kasahau kuwa Seif alishindwa kuwa Rais 1984, JAN6 mpaka leo ni mwaka wa 36 anamaliza soli za viatu
Umeshindwa kuwa Rais ukiwa Ccm ndo utaweza kupitia ACT?
Membe anakuzwa sana mitandaoni, uhalisia hata ukuu Wa Wilaya hauwezi.