Asante sana Bernard Kammilius Membe, Una kichwa kikali na ni mzalendo wa kweli

Ben alikuwa mtu makini sana, na alitoka Kusini na Membe, kama Benard alikuwa Mbobezi kama anavyopambwa kwanini Ben hakumteua mwanakusini mwenzie?
Membe anakuzwa sana mitandaoni, uhalisia hata ukuu Wa Wilaya hauwezi.
 
Once a Coward always the one.
 
Akigombea nitampigia kura, ingawa sioni kama atagombea, maana muda umeisha na hajachagua chama.
 
Angalau Leo umeongea point na mipengo yako.

How are you boss??
 
Is this the end of the beginning or the beginning of the end? Au yote kwa pamoja?
Hii ni the beginning of the end. ukweli ni kwamba kati ya dec 2020 mpakaJune 2021 atajikutakabaki peke yake mzuka wa wanaomhamasisha ushaisha.
Knowing when to quit is so important.
 
Hata hiyo kumuita Membe underdog nao ni uwendawazimu usio na mfano wakati unaelewa hata akichaguliwa kama Seif bado hatangazwi mshindi.
Membe asikungekuwa Underdog angechaguliwa CCM.
 
Hii ni the beginning of the end. ukweli ni kwamba kati ya dec 2020 mpakaJune 2021 atajikutakabaki peke yake mzuka wa wanaomhamasisha ushaisha.
Knowing when to quit is so important.
And knowing when to let it go is more important
 
Tatizo CCM imejaa wazee wanafiki sana, jiwe amegeuza chama kuwa mali yake binafsi.
Moyoni mwako unajua hayo siyo kweli. Kwenye uwazi, humu JF humlengi huyo uliyemtaja ila yule Mlevi.
 
Kama yeye ni underdog mngempa fomu kisha wajumbe wampe kura sifuri kuthibitisha hilo.
Amekwisha kufukuzwa kwa kukiuka misingi ya uwanachama. Akisamamishwa kugombea Urais, na chama kingine cha siasa, ili ndoto yake iwe kweli, atambue kwamba kufukuzwa kwake kwenye chama litakuwa doa, na kulifuta itabidi kwenye kampeni atumie muda kujitetea badala ya kunadi sera zake na za chama.

INAFIKIRISHA hali yake.
 
Inafikirisha kwa asiyefuatilia siasa za Tz hasa baada ya JPM kuchukua uongozi. Ila kwa anayefuatilia ni wazi anaelewa JPM anavyowaburuza wenzake chamani.
 
Inafikirisha kwa asiyefuatilia siasa za Tz hasa baada ya JPM kuchukua uongozi. Ila kwa anayefuatilia ni wazi anaelewa JPM anavyowaburuza wenzake chamani.
Kwa jinsi ya hoja yako wewe ni mfuasi wa upinzani ambao humu huitwa "nyumbu". Wanaitwa hivyo kwa kuwa hawajitegemei kimawazo na ndiyo maana ya hoja yako hiyo.

Viongozi na wanachama wa CCM siyo tu kwamba ni watu wazima, wanajitegemea kimawazo na maamuzi binafsi. Kuunga jambo ni baada ya kila mmoja wao kulikubali na si hivyo unavyotaka iwe.

Pole sana kama katika maisha yako unaburuzwa.
 
Wanajitegemea!? Wewe akili yako mbovu . Wakati mwenyekiti kashasema akiamka vibaya anakukata. Hapo kuna sheria tena!? Au takwa la mwenyekiti ndio sheria!? Utopolo mkubwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…