GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
aje acheze mpira aache hizo rede huko utopoloni.Aucho aje afanye nini msimbazi?
Haja qualify abaki huko huko alipoaje acheze mpira aache hizo rede huko utopoloni.
Kwani Ni nyie mlimleta dar, au mlidandia tu.
Milembe naona wamekuachia smart phone yako!Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.
Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.
Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
hongera mnaocheza mpiraaje acheze mpira aache hizo rede huko utopoloni.
Kwani Ni nyie mlimleta dar, au mlidandia tu.
Mwenye Nafasi Ni Mzamiru [emoji1787]Hapo kwa Aucho hamna kitu. Hana nafasi pale msimbazi
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.
Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.
Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Mleta Mada akili zake kazihamishia Ugokoni kabla hajaanza kuandika Uzi.Aucho aje afanye nini msimbazi?
[emoji23][emoji23]Milembe naona wamekuachia smart phone yako!
Kama nani kwa mfano? Aucho anajua mno acheni Usimba wenu na tuwe Wakweli.Mbona kuna wachezaji wengi tu kama aucho bongo na wengine wanamzidi kabisa uwezo.